Kwa hiki wanachokifanya Israel dhidi ya watoto, wamama na wazee 👇

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
7,593
6,934
Kwa hiki kinachoendelea kwa Wazayuni laanatullah alayhim dhidi ya ndugu zetu Palestina, je! Nitaachaje kuungana na Freedom Fighters/Hamas na kuwauwa hao makafiri wa kizayuni! Nitaachaje kupigania uhuru wa nchi yangu dhidi ya makafiri hao!!

Ewe Mwenyezi Mungu, wanusuru hawa ndugu zetu wa Palestina na waislamu kote duniani! AMIIN THUMMA AMIIN.👇

View: https://www.instagram.com/p/CzqI4d1OT09/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

View: https://www.instagram.com/reel/CzolnZ9utld/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

Cha ajabu kuna waislam wapo kimyaa, sijajua lengo ni nini haswaa! Hata humu jamiiforum kuna baadhi hawaonekani kuchangia, kwenye jamii sports na mambo yasiyokua na maana utawaona, lakini kwenye mipira, mipasho na mapenzi utawaona wakichangia, sub hanallah....je! Mnajisikia vibaya kujianika mbele ya wasio waislamu, je! Kuna URAFIKI baina yenu na wao unakufanyeni kutochangia chochote dhidi ya hawa ndugu zetu!! Basi hata kuwaombea Dua tu!!! Allaah atawaongoza!

Nitaonekana wa ajabu sana kuongea haya, lakini namshukuru Mwenyezi Mungu nina imani na huruma kwa hawa ndugu zangu wanayopitia, al hamduliLlah

Assalaam alaykum ayyuhal ikhwa
 
Si mlikuwa mnpongezana kwa walichofanya Hamas OCT 7? Walifanya unyama kwa watoto, wanawake na watu wengine. Mlilaani tukio lile? Lakini pamoja na hayo yote, nchi yako iko vizuri mpako ukimbilie kutetea ya wengine? Humuhumu Afrika kuna shida, huoni? Yaani wewe nyumba yako ina matatizo kibao halafu unakuwa concerned na ya jirani ambaye wewe ukiwa na matatizo wala hakujui....utumwa gani huu wa akili? Watanzania nani alituroga? Ebu nenda kawasaidie ndugu zako wamasai Loliondo...acha ubwege
Ukienda wewe kuwasaidia hao wamasai wsko inatosha, sisi tupo pamoja na ndugu zetu wapalestina na waislamu wote duniani
 
Bado nashindwa kuelewa inakuwaje mtu anaona alichofanyiwa Israel na wapiganaji wa Hamas ni sawa lakini anaumia wale waliowafanyia wakilipiza shari.......

Hii inatokana na kuwa kuna jamii ya watu fulani kwa Imani zao kujiona wao ndio wako sahihi kuwafanyia ubaya wengine na ni dhambi kufanyiwa wao........

Kila mtu ana haki ya kuishi bila kujali itikadi au Imani yake........

Mimi nadhani haya mambo yangepata uungwaji mkono na watu wengi kama ingekuwa siku ile wangeandamana na kulaani kitendo kile cha kikatili dhidi ya maisha ya binadamu wenzao.....

Lakini kutaka uungwaji mkono kwa kuonewa huruma dhidi ya malipizi ya wale uliowafanyia Shari lazima uonekane mnafiki........

Hata nchi za kiislamu zinapata kigugumizi dhidi ya kuchukua hatua kwa kuwa hata kitendo alichofanya HAMAS hakikubaliki kwenye uislamu.........

Maombi yangu ni hii vita iishe ili kuokoa maisha ya wasiokuwa na hatia.......
 
Inamaana huyo Allah hana nguvu za kuwaokoa hao watu wake?
Au ni kipofu haoni watu wake wanavyoteseka?
Allah ni mhuni tu, hana uwezo, ndio maana anawaambia watu wake wampiganie huku yeye kastarehe tu anaangalia watu wake wanavyokufa.
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom