Wanarudishwa katika Makaburi yao baada ya kufukuliwa na kuiba viungo vyao

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
7,593
6,934

Taarifa hii nimeipata 6 Days ago
Mashahidi wanarudishwa katika makaburi yao baada ya kufukuliwa na Mazayuni na kuiba viungo vyao.

Huu ni unyama na ukatili wa hali ya juu kwa Wapalestina.

Nsoji go Nvaa , Njoo huku uone unaowaunga mkono.
Screenshot_20240113-091947_Chrome.jpg


Mods, nitawashangaa sana mkiufuta ama kuuhamisha uzi huu.
 
Back
Top Bottom