Norwegian Man Breaks down after accepting Islam

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,590
Reaction score
6,957

Mnorway Asilimu.....Baada ya kutoa Shahada amelia machozi kwa hisia za kiiman.....Allah ampe Istiqama yeye na sisi pamoja.

Katika Surat An-Nasr (The Help)
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ
An-Nasr 1
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,

وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا
An-Nasr 2
Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,

Shukran nyingi sana zimuendee ndugu yetu Sheikh Rashid Al Shukery kutoka Nchini Oman, hakika unawapambania Ndugu zetu wapalestina n.k, unatupatia madini/taarifa nyingi za ndugu zetu waislamu, ikiwa pamoja na "wanaoingia katika Uisilamu, Takbiir, Allahu Akbar!

Allah akulipe kila la kheri ewe Ndugu yetu, Sheikh Rashid!
 
20231014_121104.jpg
 
Ingekuwa ni uarabuni mfano Iran muislam abadili dini kuwa mkristo angenyongwa hadharani!.
Sijui ni kuelimika au nn, waislam dini inawapelekaga puta sana!.
Nadhani una uelewa mdogo sana hivi unajuwa waarabu wakristo ni wengi tu, Iraq, Egypt, Palestine, Syria, Lebanon.... waarabu mayahudi wengi tu nchi za kiarabu. Nadhani ulitakiwa ujiulize tu kwanini wengi wanaenda upande mmoja maana kwa tarakimu za duniani ndio dini inakuwa tu.. Hawa wazungu na mazuri yao lakini jamii zao zinachangamoto kubwa sana, wanawake ngumu kuishi nao kuowa ni majanga kwao, kuna issue nyingi zinawaathiri wanakosa amani baada ya muda. wanatafuta comfort.
 
huyo mzungu mmoja mmoja kubadilisha dini unaona ni big deal na waarabu wanaobadilisha dini na kuwa wakristo
Tatizo kubwa la dini ya uislamu ni inferiority complex

Nchi kama saudi arabia, na irani ni kosa la jinai kubadilisha dini
 
Katika nchi zenye waislamu wengi waga inafahamika ukoo gani ni waislam na ukoo gani ni wakristo sasa tatizo linakuja pale wa ukoo wa kiislam akitaka kujiondoa ktk uislam iwe awe mkristo hapo ndio huyo mtu anatangaziwa fatwa ili auawe.

Lakini cha ajabu kama anatoka ukoo wa kikristo na anataka kuslimu hapo hamna shida na atapokelewa kwa shangwe na nderemo.

People are more concerned with having a collosal number of followers than to see how the same can go to heaven and Islam is a typical example of this concept.
 
Katika nchi zenye waislamu wengi waga inafahamika ukoo gani ni waislam na ukoo gani ni wakristo sasa tatizo linakuja pale wa ukoo wa kiislam akitaka kujiondoa ktk uislam iwe awe mkristo hapo ndio huyo mtu anatangaziwa fatwa ili auawe.

Lakini cha ajabu kama anatoka ukoo wa kikristo na anataka kuslimu hapo hamna shida na atapokelewa kwa shangwe na nderemo.

People are more concerned with having a collosal number of followers than to see how they can go to heaven and Islam is a typical example of this concept.
Wanaamini wakiwa wengi ndo watatawala dunia wana ambitious za ajabu sana yaani allah awezi wasaidia mpaka wawe wengi
 
huyo mzungu mmoja mmoja kubadilisha dini unaona ni big deal na waarabu wanaobadilisha dini na kuwa wakristo
Tatizo kubwa la dini ya uislamu ni inferiority complex

Nchi kama saudi arabia, na irani ni kosa la jinai kubadilisha dini
Sasa wao wananchi ya kiislamu wewe tafuta nchi ya kikristo utulie. Wewe unasema Iran sijui Saudia, wewe nenda kwenye ukoo wako tu waambie nabadilisha dini halafu uje utuhadisthie unless huna mtu.
 
Nadhani una uelewa mdogo sana hivi unajuwa waarabu wakristo ni wengi tu, Iraq, Egypt, Palestine, Syria, Lebanon.... waarabu mayahudi wengi tu nchi za kiarabu. Nadhani ulitakiwa ujiulize tu kwanini wengi wanaenda upande mmoja maana kwa tarakimu za duniani ndio dini inakuwa tu.. Hawa wazungu na mazuri yao lakini jamii zao zinachangamoto kubwa sana, wanawake ngumu kuishi nao kuowa ni majanga kwao, kuna issue nyingi zinawaathiri wanakosa amani baada ya muda. wanatafuta comfort.
Lebanon ilikuwa nchi ya Kikristu, kupokea wakimbizi ndio kumeifanya hugo nchi kuwa na waislam wengi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wewe rudi shule kasome tena hujui history, sasa kwa faida yako tu miaka 500 nyuma wakristo walikuwa ni majority katika nchi zote za kiarabu ndio maana nenda nchi zote utakuta makanisa ya miaka hiyo. Ni kukuwa kwa waislamu ndio wakawa majority.
 
Uislamu ulienezwa kwa upanga kupitia caliphate either uwe muislamu au uuliwe ndo maana wengi wakawa waislamu
 
Wanaamini wakiwa wengi ndo watatawala dunia wana ambitious za ajabu sana yaani allah awezi wasaidia mpaka wawe wengi
Ni fikra za kipumbavu kabisa hizo. Hamuwezi kuitawala dunia eti kisa mko wengi watu wa imani moja ya dini.

Sasa mnaitawala dunia kivipi, ni kweli ili uwe muumini mzuri wa hizi dini lazima ukubali kuwa mjinga na ukiwa mwenye kutumia mantiki huwezi kabisa kuwa mshabiki wa hizi siasa za dini. Bure kabisa.
 
Ingekuwa ni uarabuni mfano Iran muislam abadili dini kuwa mkristo angenyongwa hadharani!.
Sijui ni kuelimika au nn, waislam dini inawapelekaga puta sana!.
Dini zingine zimewafanya watu kuwa mazuzu. Ati mzungu mmoja anaingia kwenye uislamu inatangazwa dunia nzima. Hebu kesho kutwa aende kwa mwamposa na makanisa mengine aone akina Hadija, mwamvua, ashura nk walioamua kuingia ktk ukristo na wakristo hatuna makelele.
 
Back
Top Bottom