Wamarekani wasusia hotuba ya Biden wakitaka kumalizika kwa vita kwenye Ukanda wa Gaza

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
7,593
6,934


Wamarekani wanasusia hotuba ya Biden, wakitaka kumalizika kwa vita kwenye Ukanda wa Gaza.

Source: Aljazeera
 
Screenshot_20240109-145413_Instagram.jpg
Screenshot_20240109-145343_Instagram.jpg
Screenshot_20240109-145246_Instagram.jpg
 
Nafikiria tu msichana huyo angekuwa Tanzania, aidha ni kibogoyo mpka afike nje au apotee mazingira tatanishi.
 
Porojo tu , watu kweli hawana akili, huo ni ushetani, Gaza imegeuka kuwa kifusi, wapalestina zaidi ya 21,000 wamekufa, majeruhi ndo useme, UN habitat wamesema ni vigumu kurejesha tena hali ya swali pale Gaza, wanaosema vita vikome ni
1. Wapalestina- wanateseka
2. Waarabu- undugu wa rangi na dini
3. Wapenda amani- utu wema
4. Hamasi- kichapo kimekuwa kikali
Wanasema Israel inaua watoto na wanawake pia huku wanadai Hamas amewamaliza Israel soldiers, ukiwauliza hao hamasi wanapigana wakiwa wapi? Hawajibu, wanagata mdomo, ikichunguza nia yao wanataka Israel ifutike kwenye uso wa dunia, hawataki amani wanataka wayahudi waangamie, kwa mazingira hayo Israel lazima apigane nao na kuweka mazingira sawa kwa ustawi wa jamii inayoishi Israel, na nchi za kiarabu zikicheza kwa mara nyingine zitawaponza wapalestina wema. Hakuna namna ya kumtoa Israel pale middle East tayari ni nchi ambayo imekamilika kiuchumi, kisiasa na kijeshi( nuclear).
 
Back
Top Bottom