bongo movie

  1. Afisa Mteule Drj 2

    Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

    Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka kahaba nadhani baada ya maisha kuwa magumu. Halafu nyingine iliwahi kuonyeshwa tbc kuna watoto mama...
  2. Harunahoba

    Bongo movie wapi mnakwama?

    Taasinia ya Sanaa ya michezo ya kuigiza hapa Tanzania inapitia changamoto nyingi sana zipo tunazoziona sisi mashabiki na pia zipo wanazokumbna nazo wasanii husika. Binafsi hiz ni baadhi ya changamoto ninazoziona kama mdau. 1. UKOSEFU WA SIMULIZI ( STORIES)NZURI. story nyingi za hapa kwetu...
  3. KIBUGAmk

    Kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee

    Habari zenu wana JF, Tukirudi kipnd cha nyuma miaka ya 2010 soko la bongo muv lilikuwa lilikuw juu sana kuliko hata muziki lkn baada ya Kanumba kufariki soko kimeyumba mpaka sasa Japo kidogo, Ramata anajitahidi kurudisha ule umakini wa zamani kupitia tamthilia kama 'jua kali'. Lakini kiukweli...
  4. The Burning Spear

    CCM Wanajua kuigiza zaidi ya bongo movie, muone huyu

    Check haya maigizo..MTU anatafuta kula 2025. Hatuwezi kuendelea Hadi yesu anarudi.
  5. MamaSamia2025

    Wasafi Festival ni maonyesho ya muziki au Bongo movie?

    Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu. Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii...
  6. Artifact Collector

    Bongo movie hazifundishi ujasiri bali msisitizo upo kwenye mahusiano

    Kama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri Tanzania hatuna majasiri kabisa hii ni kwa sababu mtoto anakua katika mazingira ambayo...
  7. chizcom

    Marehemu Kanumba uliondoka na Bongo Movie yako japo ndiyo ulianza kuichangamsha

    Leo nimekukumbuka baada kuona wasanii wa bongo hawana tofauti wanachama wa CCM baada ya maigizo yao au kazi zao. Japo ndio ulikuwa mwanzo mgumu ila ulitendea haki tukupe shukrani. Huku umetuachia wajinga wengi mpaka wengine wamekuwa wanyekiti wa misiba na mbwembwe.wapo wachache wenye kutimiza...
  8. IamBrianLeeSnr

    Siyo bangi tu, hata video za utupu ni shida kubwa

    Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde. Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
  9. P Didy Wa Tanzania

    BONGO MOVIE | Special Thread

    Top ten Bongo movie series of all time. Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia. lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi...
  10. Abu Ubaidah Commando

    Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  11. Frumence M Kyauke

    Shutuma nzito dhidi ya waigizaji wa bongo movie

    Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli, ushirikina, mauaji, matumizi ya dawa za kulevya, ndani ya mapenzi kitendo ambacho kimekuwa kikifundisha...
  12. R

    Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

    Habari wana JF, Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc? Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo: 1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio...
  13. pantheraleo

    Nangasu Werema: Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania

    Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania na kuelezea sehemu zenye Vivutio vya Utalii ili kuongeza Utalii na fedha za Kigeni. Ameyasema...
  14. Poker

    Kama Kanumba angekua bado hai, unahisi Bongo Movie ingekua wapi?

    The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni. Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
  15. Nyankurungu2020

    Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    "Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule 👇
  16. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  17. kindikinyer leborosier

    Steven Mangele (maarufu Steven Nyerere) kuna uhusiano gani wa bongo movie na CCM?

    Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha! Moja kwa moja niende kwenye hoja! wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu, na watoto wetu lakini pia ndo ndugu zetu! Muhusika niliemtaja kwa mtazamo wangu ni kama kwa sasa...
  18. Lycaon pictus

    Hivi Bongo movie hawawezi kuuza movie zao kwenye flash?

    Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi hiki walau walikuwa wanapata chochote. Ghafla watu wakaanza kupirate DVD na kuziweka kwenye flash...
Back
Top Bottom