Avihai Levy: Ninaogopa, ninajikojolea usiku na siwezi kulala

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
7,593
6,934
3264950703716782861.jpg.png

Mwanajeshi wa Israel Avihai Levy akiwa kwenye Knesset: "Ninaogopa, ninajikojolea usiku na siwezi kulala kutokana na kile nilichokiona huko Gaza"
 
Binadamu waliopo Gaza wanateseka,wanaishi kama wanyama.
Hamas hawakujua Gharama itakayowakumba wao na Raia wao wanaowateteaa
Hakujawahi kua na uhuru unaokuja kwa urahisi rahisi
Labda upewe uhuru wa bendera tu kama taifa fulani pale afrika mashariki
Kupambania uhuru huambatana na gharama kubwa sana
Unadhani ukraine kinachowakumba nini ila kwanini wanaendelea kufa
Sababu wanajua kuupigania uhuru sio jambo jepesi
Allah atawapa afuan kwa yooote wanayoyapitia
 
Magaidi dawa yao shaba tu hakuna kuogopa mwana wa DAUDI. Acha kujilegeza Wakikukamata kwenye anga zao utajinyea kabisa soja ,
Unadhani huyo fala akikuona wewe mtu mweusi atajali hata kukuangalia mara mbili zaidi ya kukuita nyani?

Acheni kushobokea watu wanaowadharau, pumbavv kabisa. Hakuna mpalestina wala muisraeli, wote wapuuzi tu.
 
Hakujawahi kua na uhuru unaokuja kwa urahisi rahisi
Labda upewe uhuru wa bendera tu kama taifa fulani pale afrika mashariki
Kupambania uhuru huambatana na gharama kubwa sana
Unadhani ukraine kinachowakumba nini ila kwanini wanaendelea kufa
Sababu wanajua kuupigania uhuru sio jambo jepesi
Allah atawapa afuan kwa yooote wanayoyapitia
MKuu naona kimya mpaka sasa!

Mbona unashindwa kutimiza unachosema?
 
Unadhani huyo fala akikuona wewe mtu mweusi atajali hata kukuangalia mara mbili zaidi ya kukuita nyani?

Acheni kushobokea watu wanaowadharau, pumbavv kabisa. Hakuna mpalestina wala muisraeli, wote wapuuzi tu.

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
 
Back
Top Bottom