ALLAH akulipeni zaidi kwa kilichobora, na akuzidishieni katika mema ya mizani yenu enyi WAJA wa ALLAH wa OMAN 🇴🇲

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
7,593
6,934

Tafsiri👇
*Wakati wa mahubiri/Khutbah ya jana ijumaa,
5/1/24 kutoka ndani ya vituo vya makazi vilivyozingirwa na karibu na maeneo ya mapigano huko Jabalia, Kaskazini mwa Gaza*Wakati wa shughuli ya Kutoa misaada ya Jumuiya ya Wahisani ya Al-Falah ndani ya vituo vya makazi na chini ya uangalizi wa Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman, Mtukufu Sheikh Ahmed bin Hamad al-khalili, na kwa msaada mkubwa wa hisani na kutoa watu katika Usultani wa Oman**Mungu abariki Usultan wa Oman, na Mungu awabariki watu wa Oman, na watu wa Oman, na ukarimu wa oman, na utukufu wa Oman, na ushujaa wa Wanaume na Wanawake wa oman, Mungu akubariki unapotoa Kilicho cha thamani na cha thamani, pesa zako, na nyadhifa zako, ambazo ni za ukweli siku zote ili kusaidia watu wetu wa Gaza. Mungu akulipe kwa niaba yetu, na kwa niaba ya watu wetu, waliohamishwa makazi yao, na wamiliki wa nyumba zilizoharibiwa huko Gaza, kila la kheri


N.b: Allah akulipeni enyi ndugu zetu wa Oman!

Oman wanajitahidi sana kuwashika Ndugu zetu hawa wapalestina, Allah awajaze kila lenye kheri Nchi ya Omani.

ALLAH akulipeni zaidi kwa kilichobora na akuzidishieni katika mema ya mizani yenu enyi WAJA wa ALLAH wa OMAN 🇴🇲

Hakika kutoa kwenu hakupunguzi chochote katika mali yenu

Kushkuru kwa WAJA hawa wa GAZA hakika ni baraka kwenu wana OMAN

Mods, nawaomba uzi huu msiufute wala kuuhamisha!
 
Mambo ya Gaza yataeleweka hadi waarabu wote watakapo acha unafiki,,,,,, wanauma na kupuliza
 
Mtausoma ninyi mnaoumia na kuteseka dhidi ya waislamu
Kweli mkuu,afadhali na huku kwetu bado chuki si kubwa kivile,huko ulaya ndiyo balaa,wenyeji hawawataki waislam kabisa,wanasema waislam wanaharibu nchi zao kwa kuwalazimisha waache desturi zao na wasilimu kwa lazima,wakikataa wanashambuliwa kwa suacide attack.
 
Kweli kabisa Oman toka zamani inasimama na Palestine tofouti na nchi zingine za Gulf.

Tokea wakati wa Marehemu Qaboos hata hawa Israel wanajidai eti walikuwa na mahasiano mazuri na Oman, si kweli.

Sultan Qaboos alikuwa mtu wakupenda peace ndio akawa anajaribu kuwapatanisha Isreal na Palestine, bada ya Mohamoud Abbas kuomba Sultan Qaboos awasaidie ndio akamualika Netanyahu Oman.


View: https://youtu.be/UKQL6Wl--0U?si=VTEWpjv6Gutp4Dnj
 
Subhanna -Allah 🙏🙏Pia tuwakumbuke ndugu zetu katika Imani huko Sudan
hari ni Tete Sana wanachinjana wao Kwa wao
GDInK1WXcAEAuiE.jpeg
 
Kweli mkuu,afadhali na huku kwetu bado chuki si kubwa kivile,huko ulaya ndiyo balaa,wenyeji hawawataki waislam kabisa,wanasema waislam wanaharibu nchi zao kwa kuwalazimisha waache desturi zao na wasilimu kwa lazima,wakikataa wanashambuliwa kwa suacide attack.
Waislamu si wakuchangamana nao! Imani ya kuua na kujiua ili wakawakatie viuno mabikra 72 huko ahera ni hatari mnoo!!!

Ukiwa na Imani kwamba wake zako wote wanne siyo watamu Kwa sababu hawana bikra ni hatari zaidi.
 
Wapende Waafrika wenzio wa Sudan wanaouana na ikibidi uwatumie msaada ewe mwislam wa Markaz.Nawapenda watanzania na waafrika wenzangu.Mayahudi,maharabu na mazungu yanatuona sisi kama manyani.Amka

Mpaka hapa umeonyesha ni jinsi gani unawachukia waislamu/waarabu.

Waislamu wote ni Ndugu, kila anaekutwa na mitihani popote pale lazima tuumie sisi kama ndugu zao, haijalishi ni mhindi, mzungu, mwafrika, mchina n.k ni lazima tuumie.

Suala la kukuona manyani, ulishawahi kukutana na mwarabu akakubagua na kukuita ama kukufananisha na "SOKWE"?
 
Back
Top Bottom