Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni.
Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni Ndoa za Kidini, Kimila na Kiserikali.
Mara baada ya kufunga Ndoa, maharusi wengi Kwa kushirikiana...
Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni.
Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja...
Habari za Muda huu Wakuu!
Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee.
Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
Sote ni mashahidi wa Juhudi Kubwa unazoendelea kuzifanya kuboresha Elimu yetu ikiwemo suala la kuboresha miundombinu ya Shule, Maabara na vitendea kazi.
Hivi karibu Serikali imetoa Fedha kwaajili ya Ujenzi wa Madarasa, Maabara za shule pamoja na madawati ili watoto wetu wawe na mazingira rafiki...
Wakuu, habari za muda huu?
Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako?
Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
Salaam,
Mwaka 2020 umeisha na sasa tumeanza Mwaka Mpya 2021. Wengi mtakuwa mlijiwekea malengo mbalimbali yawe makubwa, ya kati au madogo kwa mwaka uliopita, lakini kwa sababu mbalimbali kuna mliofanikiwa kuyatimiza na wengine mkashindwa kuyatimiza. Sizungumzii kuhusu malengo ya kuoa au kuolewa...
Mwaka 2020 ndiyo unaelekea mwishoni, huku zikiwa zimebaki siku 50 kuisha. Watanzania hatuna mazoea ya kuandaa bajeti zetu binafsi, lakini ni tool muhimu sana kwenye maisha yetu hasa unapotaka kuona maeneo ya kupunguza matumizi kama sio ya lazima
Hapa chini nimefanya tathmini ya matumizi ambayo...
Kwa miaka mingi wakulima wa zao la korosho hasa wa mikoa ya kusini walikuwa hawanufaiki na kilimo cha mazao hayo kutokana na sababu mbalimbali kikubwa ni kutopewa kipaumbele.
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani kwa kiasi kikubwa ikatoa kipaumbele kwa mazao mbalimbali ikiwemo zao la...
Habari zenu humu,
Kumekuwa na wimbi la matukio ya waganga wa kienyeji kutembea na wagonjwa wao kila wanapokwenda kupata huduma ya matibabu kwa waganga hao.
Wiki moja iliyopita kuna mtu na wifi yake walikuja kuripoti tatizo hilo wakisema kuwa mganga amenanii nao eti kama njia ya kuwapatia...
Nchi ya Ufaransa imepiga marufuku biashara ya ukahaba na ngono kwa ujumla. Iwapo utakutwa unanunua kahaba(ngono) utapigwa faini ya dollar za kimarekani 4500.
Je, unadhani kuna umuhimu nasisi watz kuwa nasheria kama hizo juu ya biashara hii kongwe duniani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.