Waganga wa kienyeji wanavyolala na wanawake kwa kigezo cha matibabu

Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
15,088
46,854
Habari zenu humu,
Kumekuwa na wimbi la matukio ya waganga wa kienyeji kutembea na wagonjwa wao kila wanapokwenda kupata huduma ya matibabu kwa waganga hao.

Wiki moja iliyopita kuna mtu na wifi yake walikuja kuripoti tatizo hilo wakisema kuwa mganga amenanii nao eti kama njia ya kuwapatia matibabu, dada huyo ambaye ni mjamzito wa miezi 7 alikwenda kwa mganga huyo eti akamfungue kutokana na kufungwa kishirikina na majirani zake asijifungue miezi 9 ikifika ili afe.

Kwa hiyo mganga akamwambia kuna dawa atampaka lakini kwa kumwingiza dyudyu huko, kwa hiyo mganga akaduu nae.

Wifi yake nae ambae alikuwa na tatizo la kutopata mtoto aliambiwa na mganga huyo kuwa atapewa dawa ya kupaka kunako huko lakini kwa kusaidiwa na mganga huyo kuingiza kwa dyudyu yake. Kuja kutaharuki mganga kawapitia wote mtu na wifi ake ndani ya siku moja.

Sasa ndugu zangu watu hao wanataka kumfungulia mashtaka mganga huyo, je kuna nafasi ya kushinda kesi hii dhidi ya mganga huyo??

Kuna haja ya kujifunza uganga wa kienyeji manake hao akina dada wenyewe Mashaalah,manake mmhh.....
 
Sasa watashindaje labda waende tena wakaiingiliwe wachukue na picha iwe kama ushahidi .. Sasa hivi nahisi itakuwa late na kumbuka hawajabakwa walitoa kwa hiyar hao dawa iingizwe
Ni kweli usemacho,kwa mwendo huo waganga watatumalizia mama zetu
 
Habari zenu humu,
Kumekuwa na wimbi la matukio ya waganga wa kienyeji kutembea na wagonjwa wao kila wanapokwenda kupata huduma ya matibabu kwa waganga hao.Wiki moja iliyopita kuna mtu na wifi yake walikuja kuripoti tatizo hilo wakisema kuwa mganga amenanii nao eti kama njia ya kuwapatia matibabu,dada huyo ambaye ni mjamzito wa miezi 7 alikwenda kwa mganga huyo eti akamfungue kutokana na kufungwa kishirikina na majirani zake asijifungue miezi 9 ikifika ili afe.Kwahiyo mganga akamwambia kuna dawa atampka lakini kwa kumwingiza dyudyu huko,kwahiyo mganga akaduu nae.Wifi yake nae ambae alikuwa na tatizo la kutopata mtoto aliambiwa na mganga huyo kuwa atapewa dawa ya kupaka kunako huko lakini kwa kusaidiwa na mganga huyo kuingiza kwa dyudyu yake.Kuja kutaharuki mganga kawapitia wote mtu na wifi ake ndani ya siku moja.
Sasa ndugu zangu watu hao wanataka kumfungulia mashtaka mganga huyo,je kuna nafasi ya kushinda kesi hii dhidi ya mganga huyo??
Kuna haja ya kujifunza uganga wa kienyeji manake hao akina dada wenyewe Mashaalah,manake mmhh.....
Akili mukichwa.
 
Hii hatari!,wengi ni matapeli na hutumia matatizo ya uzazi kufanya ufirauni,mtu akiambiwa naingiza dawa kwa dyudyu atakubali tu,na liganga hata halivai kinga.
 
Hii hatari!,wengi ni matapeli na hutumia matatizo ya uzazi kufanya ufirauni,mtu akiambiwa naingiza dawa kwa dyudyu atakubali tu,na liganga hata halivai kinga.
Ndio kusambaza maradhi hapo,manake yeye anaingiza tu dyudyu.....
 
malezi yanachangia mtu kuamini hayo ishakula kwao wao wakae kimya iwe siri yao maana hakuna namna
 
Sasa jaman hata kama reasoning yako ni zero jaman. Hvi kulalwa unaona ni kitu kidogo? Hvi hata kama wwe ndo mwenza wake ukisikia hivyo kuna mahusiano tena? Yaani ni kuruka kojo na kukanyaga givi lamoto fresh linafuka moshi live.
 
Na ni haohao wanawake wanatabia za kwenda kutengenezewa dawa eti wawe na mvuto lakini mwanamke mwenyewe ukimwona hahitaji hata kutengenezewa dawa kwa ajili ya mvuto (ni mzuri balaa).
 
Kitendo hicho kwa kweli sio
Sasa jaman hata kama reasoning yako ni zero jaman. Hvi kulalwa unaona ni kitu kidogo? Hvi hata kama wwe ndo mwenza wake ukisikia hivyo kuna mahusiano tena? Yaani ni kuruka kojo na kukanyaga givi lamoto fresh linafuka moshi live.
Sio kitendo kizuri ndio maana huyu mmoja amemficha kabisa mumewe asijue
 
Na ni haohao wanawake wanatabia za kwenda kutengenezewa dawa eti wawe na mvuto lakini mwanamke mwenyewe ukimwona hahitaji hata kutengenezewa dawa kwa ajili ya mvuto (ni mzuri balaa).
Kutokujiamini tu
 
Huo mchezo unafanywa sana na matapeli wanaojificha kwenye kichaka cha waganga wa kienyeji,yaani kwa kweli dada zetu,mama zetu wanapigwa ille mbaya,kuna yule mama mmoja wa wamiliki wa shule moja ya sekondari wilaya ya same mkoani Kilimanjaro,mwaka jana aliingia kwenye anga za hao jamaa,wakamwambia atoe pesa wamtengenezee dawa ili shule yake ipate wanafunzi wengi mpaka mwenyewe akimbie,jamii alitoa sharti moja kuwa ili dawa ifanye kazi sharti amegwe,na kweli alimegwa mbaya sana tena kwenye mahoteli makubwa makubwa mwisho wa siku hakuwa cha wanafunzi kujaa wala nini,kumegwa amemegwa na pesa ya kutosha akachapwa,leo ni mgogoro mkubwa ndani ya familia,yule mama baada ya kugundua kuwa alikuwa anapigwa bila kujijua,akaenda kufungua jalada polisi jamaa akakamatwa lakini akawaambia polisi kuwa yule mama ni mpenzi wake na hajawahi kumwambia kama mke wa mtu na kaonyesha ushahidi wa picha wakila bata,sasa hapo kuna kesi?,wajinga ndiyo waliwaoooooooooooooo
 
Sasa mashtaka ya nini.. kwani aliwaita.. si wamejipeleka wenyewe.. yeye akawatibu... hamna kesi hapo ni ujinga wao tu...
 
Hehehehe
Mganga nipo hapa navuta mpenz aliye mbali.nagawa pete za bahati, na tibu wenye upungufu wa nguvu za kike na kiume.dawa ya kupata mpenz mwenye hela na kufanya k kuwa mnato
 
Back
Top Bottom