Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!
Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa...
Salaaam Wakuu,
Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli.
Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi.
Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana
Nembo...
Na Yericko Nyerere
Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana!
Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
Je Serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria? Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je, watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliyetwaa Urais wa Samia aurejeshe...
Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana?
Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
Najua lilikuwa ni Chaguo la kisiasa likiwa na sababu zake
Twiga kiasili ni Mnyama mpole, mnyonge asiyependa shida na Chakula chake ni majani laini
Twiga hawindi ila Nyakati fulani anawindwa na wanyama " wakali sana" like Simba, Chui na Kundi la " Mbwa mwitu"
Kwanini tulimchagua Twiga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.