Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,219
- 2,825
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!
Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa
1. Kwanza kumewekwa nyota tatu kwenye rangi nyeusi
2. Pili rangi ya bluu haipo tena badala yake kuna rangi nyekundu
3. Tatu ni kwamba bendera imepinduliwa zile rangi za ulalo badala zitoke chini kushoto kwenda juu kulia, wao wameweka zinatoka chini kulia kwenda juu kushoto
Sijajua sheria za nchi zinasemaje kwa jambo kama hili maana nembo ya taifa ni miongoni mwa alama kubwa za Taifa sasa inapotokea watu wamezibadili hivyo inakuwaje?