Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
miradi.PNG

Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote?

Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi?

Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
 
Wanaamini huo utapeli wa kizamini Bado watu hawajaustukia. Ni kama wanajaribu kuhalalisha kurudi kwenye nafasi zoa hata kwa wizi wa kura, hivyo huo usanii ndio watautumia Ili kuhadaa umma kuwa walikuwa karibu na wananchi.
 
Ni utapeli wa kitoto sana. Na sidhani Bado Kuna wananchi wajinga wa kufanyiwa usanii wa kitoto hivyo.
 
Ipo sana kwa hii Tz yetu! Bado sana% Nakaa Kitunda njia yote mbovu unawaza mda wa kutoka na kurud home! Coz inasababisha usafir wa shida sana! Sehem ya mia5 inakua elfu had elfu2"
 
Back
Top Bottom