Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imekuwa ikikuwa kwa kasi, japo hatujafikia zilipo nchi Kama Kenya , Uganda, South Africa, Ghana na , Nigeria lakini sio haba, tumekusanya zaidi ya bilion 200 kwenye mapato TRA , pamoja na faida hiyo sio ajabu kuna mahali imeacha kilio na majuto , pamoja na...