aliexpress

AliExpress is an online retail service based in China that is owned by the Alibaba Group. Launched in 2010, it is made up of small businesses in China and other locations, such as Singapore, that offer products to international online buyers. It is the most visited e-commerce website in Russia and was the 10th most popular website in Brazil. It facilitates small businesses to sell to customers all over the world. AliExpress has drawn comparison to eBay, as sellers are independent and use the platform to offer products to buyers.AliExpress started as a business-to-business buying and selling portal. It has since expanded to business-to-consumer, consumer-to-consumer, cloud computing, and payment services, as well. AliExpress is currently available in the languages English, Spanish, Dutch, French, Italian, German, Polish, Portuguese,Bahasa and Russian. Customers outside of the country boundaries for these languages are automatically served the English version of the service. AliExpress is often used by e-commerce stores that use a dropship business model.

Sellers on AliExpress can be either companies or individuals. AliExpress is different from Amazon because it acts only as an e-commerce platform and does not sell products directly to consumers. It directly connects Chinese businesses with buyers. AliExpress differs from fellow Alibaba-subsidiary Taobao in that AliExpress is primarily aimed at international buyers.AliExpress does not allow customers in mainland China to buy from the platform, though most retailers are Chinese themselves. The website offers a popular affiliate marketing program where partners are rewarded for sending visitors to the site with a commission on sales.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaselele

    Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Wakuu habari. Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu. Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu. Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000. Niliweka oda na...
  2. monotheist

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    Nilianza kuagiza mizigo midogomidogo (small parcel ) miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipa kodi zaidi ya ile tsh 2350 ila mwaka huu nikapata shauku ya kuagiza mzigo kwa ajili ya biashara niliagiza saa pieces kama 20 pamoja na airpod Mzigo wangu ulichukua takribani siku 12 tu toka china hadi...
  3. February Makamba

    Wapi ni safe kuagiza LCD screen ya Huawei P40 lite kati ya Aliexpress au Alibaba?

    Wakuu, Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu? Aliexpress sina experience nao lakini naona ndiyo wanavyo vingi na pia bei zao ni ndogo lakini sijajua issue...
  4. R

    Inachukua siku ngapi kwa parcel ndogo kufika Tanzania ukitumia kampuni ya Ali express?

    Wenye uzoefu na kuagiza mzigo ali express, inachukua siku ngapi kwa parcel ndogo kufika Tanzania??
  5. 42774277

    Msaada: Kurudisha bidhaa Aliexpress

    Nilibuy Display ya s10 plus Aliexpress but ikaja ikiwa damaged. Nikafungua dispute na zikatoka solutions mbili na ikabidinichague moja. 1. Kuwa compesated na kiasi kidogo lakini nibaki na display. Like 30% tu. 2. Kurudisha Display na kupewa full refund. Nikachagua hiyo namba 2. Wakakubali...
  6. YoyoTheDeveloper

    Wazoefu wa Aliexpress

    Habari zanu wakuu, kwa wenye uzoefu wa kuagiza bidha kupitia Aliexpress. nahitaji kuagiza bidha kwa mara ya kwanza, Je nitapokea mzigo kwa njia gani? Je mzigo utafika bila shida yoyote? Kama kuna changamoto, ni zipi? Asanteni.
  7. geofrey senyagwa

    Niliagiza mzigo Aliexpress lakini nilikuwa sijafungua sanduku la posta. Je, naweza kuupata?

    Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu? Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
  8. K

    Tatizo la order kuwa closed aliexpress

    Wakuu nimepata changamoto ya kila nikiplace order aliexpress naambiwa order imekuwa closed...natatua vipi hiyo changamoto...msaada m mgeni wa manunuzi mtandao hasa aliepress
  9. VictoniX

    Msaada kwa wazoefu wa kutumia Aliexpress

    Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka... Yani kwa mfano nataka kuagiza mzigo ila nahitaji kutumia Silent Ocean kusafirisha mzigo wangu, je ni hatua gani natakiwa...
  10. Mad Max

    Ukinunua simu online (Mfano Ebay au AliExpress) kuipata ni bahati nasibu

    Kwema wakuu. Siku hizi ukinunua simu/smartphone online mfano kutoka China AliExpress au Ebay n.k aisee kuipata ni kubet. Zoezi zima la kununua litaenda vizuri, itatumwa, utaitrack, tatizo itakavyofika Tanzania. Aisee sijui ni Airport au Posta wanapiga. Tracking inaishia “item has arrived in...
  11. Kurunzi

    Manunuzi Aliexpress, Nipe ushauri

    Mwaka jana mwezi 3,2020, nilimnunilia jamaa yangu mmoja simu kwa akaunti yangu ya Aliexpress ila nilitumia Bank Details kufanya malipo. Toka siku hiyo sijafanya manunuzi tena Aliexpress mpaka Last week ambapo Dada aliniwekea hela kwenye account yangu ya bank ninayoitumia kufanya manunuzi ili...
  12. VictoniX

    Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua kupitia kikuu pekee... Nahisi namna ya kuagiza sio shida sana maana naweza kusoma kwenye tovuti yao na...
  13. donlucchese

    Vodacom wako vizuri kwenye MasterCard yao

    Very smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa...
  14. Baba Rhobi

    Msaada wenu waharaka wakuu hawa aliexpress siwaelewi kabisa, sijui ndo napigwa hivo.

    Iko hivi wadau niliweka oda alie wiki ilopita ni oda ya simu ya simu toka kwa seller MI POCO, akaship mzigo kesho yake ila cha ajabu jana tar 11 na angalia nakuta mzigo umearrive destination country country , nkajiuliza mbona fasta hivo, nkaingia parcelapp tracking nkakuta mzigo umeika origin...
  15. Baba Rhobi

    Wazoefu wa Aliexpress mpitie hapa mtoe msaada wa haraka tafadhali

    Wakuu Habari ya nyie, nahitaji kuagiza simu aliexpress ila sio mzoefu sana, make nilipoagiza mara ya kwanza kwa ajili ya kupata uzoefu ndo nilibaki njia panda, niliagiza kitu cha dollar 1.5 tar 01/06 mpaka leo tar 20/07 inasoma departed country of origin shipping method cannaiao economy global...
  16. luangalila

    Naweza kwenda Posta kuulizia mzigo wangu kutoka Aliexpress

    Wadau habarini za mchana. Nilinunua bidhaa kule Aliexpress tangu December mwaka jana, mpaka leo sijapokea ujumbe toka posta juu bidhaa yangu kufika Bongo, ila yule muuzaji anadai percel imeshafika DSM muda mrefu tu. Je inawezekana kwenda pale posta kuuliza endapo kama kuna kifurushi kimetumwa...
  17. wakutafuta

    Msaada manunuzi ya Lcd Ya Samsung J7 Pro kwenye site ya Aliexpress.

    Natakaa kuagiza LCD hii hapa US $25.88 30% OFF|5.5 ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi kwenye mtandao huu pia kama kuna option naweza kupata kwa hapa Tanzania kwa bei nafuu na nikizuri mnisaidie.
  18. Gustavos

    LG v20 au LG g6 refubrished toka AliExpress ziko vizuri?

    Naomba muongozo kwa yule ambae amewahi nunua refubrished lg v20 au lg g6 aliexpress maana nataka nitoke kwenye shida za tecno naomba msaada wenu tafadhali. Nakama una weza nieleza kwa simu hiyo naweza lipia kodi hadi bei gani.
  19. Grand Canyon

    Msaada wa Aliexpress

    Niliagiza kifaa fulani huko Aliexpress 10/10/2020. Niliambiwa nitarajie kupata kifaa hicho kati ya Novemba 2-Desemba 2. Mpaka sasa naona kimya. Uliwahi kuwa katika hali hii? Ulifanyaje?
Back
Top Bottom