Naomba kujuzwa gharama za kusajili michezo ya bahati nasibu

runtown

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
819
1,089
Nimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na tra kwa mashine moja
 
JARIBU KUWASILIANA NA BODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA KWA MSAADA ZAIDI
 
Nimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na tra kwa mashine moja
Mimi nawaza kifungua branch ya betting uki kijijini kwetu sijui nifanye nn
 
Back
Top Bottom