DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,332
1,862
TAARIFA MPYA

DV-2023 PROGRAM
INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.

JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.

HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.

KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE.

ANGALIZO:
IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA ANA KWA ANA NAMI AU KUCHEZEWA/KUJAZIWA FOMU KWENYE MTANDAO,
ITAKUGHARIMU WEWE KUFIDIA MUDA WANGU,- KIUNGWANA.

SIMU/WHATSAPP: +255 714 59 15 48.
 
Mshindi anazawadiwa shillingi ngapi? Na hiyo zawadi ni lazima uhamie USA ndio upewe? Naomba ufafanuzi
 
TAARIFA MPYA

DV-2023 PROGRAM
INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.

JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.

HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.

KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE.

ANGALIZO:
IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA ANA KWA ANA NAMI AU KUCHEZEWA/KUJAZIWA FOMU KWENYE MTANDAO,
ITAKUGHARIMU WEWE KUFIDIA MUDA WANGU,- KIUNGWANA.

SIMU/WHATSAPP: +255 714 59 15 48.
Mkuu nitaomba website ya kufanya application wakishafungua hiyo tarehe 6.
 
TAARIFA MPYA

DV-2023 PROGRAM
INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.

JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.

HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.

KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE.

ANGALIZO:
IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA ANA KWA ANA NAMI AU KUCHEZEWA/KUJAZIWA FOMU KWENYE MTANDAO,
ITAKUGHARIMU WEWE KUFIDIA MUDA WANGU,- KIUNGWANA.

SIMU/WHATSAPP: +255 714 59 15 48.
Tanzania ilitolewa katika hiyo bahati nasibu mkuu.Hatupo tena
 
Ndio maana ikaitwa bahati nasibu na maelfu wanacheza
Sasa si ndio nataka nione ubahati wake, je , huko naweza pata eka walau 20 au 30 hivi nikafanya shughuli mbali mbali za kiuchumi kama ilivyo kwa Tanzania? Maana waChina wanakimbilia huku Tz pia, tuwachezeshe nao bahati nasibu?
 
Kule Fursa ni nyingi.Maisha ya diaspora ni bora sana kuliko huku.
 
So mfano naweza pewa walau viekari 30 na kijiji chochote cha huko, nikafanya shughuli za kiuchumi kama ilivyo huku Tz? Na unaonaje waChina wanaokuja huku nao tukawachezesha lottery?
 
Back
Top Bottom