Ndugu wanajukwaa habari zenu.
Kumekua na tabia ya kumshukuru mama hata umeme uliporejea jana baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kama wakazi wa Daresalam wamemshukuru mama.
Imekua kasumba serikali ikifanya shuhuli za maendeleo anasifiwa mama.
Mbona akikopa hamsemi amekopa mnasema serikali...
Ukiingia kwenye App ya CRDB inakua haina usumbufu tatizo ni mrejesho wa ujumbe wao.
Unaambiwa umetuma hela kwa kutajiwa akaunti namba yako lakini hutajiwi namba na jina la uliyemtumia hela.
Kwanini msirudishe majibu kwa kutaja namba na majina ya aliyetumiwa hela? Hii inasaidia hata kufanya...
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za...
Habari ya Jumamosi.
Ninayoheshima kubwa kukuandikia mama kukuambiatu kwa ufupi sana.
Mama wewe haya yanayofanyika unayaona na unajua mengi kuliko sisi raiya wako. Hilo lipo wazi
Ninachoweza kukuambia hao watendaji wako ambao wengine niwabadhirifu wengine ni wazembe wanakuloga sana. Uchawi...
Wanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema.
Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira.
Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa...
Wanajukwaa ninaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Familia yake ijawe na faraja na subra katika kipindi chote kigumu. Mungu ailaze roho ya Babu mahala pema peponi tena huko Firdausi.... Aaamin.
Baada ya hapo hata sioni haja ya kutoa maelezo mengi mno...
Kwa muda usiopungua siku tano sasa mtandao wa Airtel umesababisha usumbufu mkubwa kwa baadhi ya watumiaji wake. Simu za mtandao huo hazitoki na sanasana mteja unaweza ukaambiwa namba unayopiga haiwezi kuunganishwa kwasasa
Wateja wanahangaika na mawasiliano hamna. Vifurushi vyenu vinakata maratu...
Miaka ya hivi karibuni viongozi wa umma wameingiwa na tabia ya kusifu na kushangilia hovyo.
Kupitia mitandao ya kijamii tunashuhudia wakurugenzi na wakuu wa wilaya wakijisifia ujenzi wa madarasa kana kwamba nikitu ambacho hakikua kinawezekana.
Hao hao viongozi wameandamwa na msiba wa shule za...
Mara zote shule binafsi wanakua vinara katika matokeo ya mitihani aidha darasa la saba au kidato cha nne.
Sababu za matokeo yakiwa mazuri au mabaya zipo kama vile uwezo binafsi wa mwanafunzi, bidii, mazingira, rasilimali vitabu,walimu bora, maabara za kisasa, maslahi bora ya watumishi, mbinu...
Ninampongeza Nape Moses Nnauye kwa kurejeshwa kua waziri katika wizara yake ya habari
Wakati Nape alipokua waziri wa habari ndio kipindi ambacho Uhuru wa vyombo vya habari uliminywa,zilipitishwa sheria ambazo hazikua rafiki kwa wadau wa habari,vilifungiwa vyombo vya habari kama redio na...
Mh. Rais ninakusalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwaufupi ninashauri Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu itazamwe upya.
Menejimenti ni mbovu, huduma sio rafiki, wahitaji kama yatima na maskini hawajapewa Mikopo na wengine wameacha vyuo na wakati huo wapo ambao wanamudu kujisomesha...
Kwa hali ilivyo kura sio siri tena kwa kiwango kikubwa maana asilimia kubwa ya wapiga kura wameshajipambanua watampatia nani kura zao.
Vilevile hata wanaogombea na wapiga debe wao kwaasilimia kubwa kilammoja atapigia chama au kundi lake. Pia mawakala wa vyama wanajieleza wao watampigia mtugani...
Amani ni neno pana lakini ninaweza kutoa tafsri kwamba nikuwa huru na kukosa msukosuko au msuguano ndani ya nafsi unaosababishwa na jambo lolote lile.
Ikitokea mtu ana kisasi au kinyongo juu ya jambo fulani huyo hana amani.
Nimegundua kwamba baadhi ya viongozi wetu wanaotuhubiria tuwe na amani...
Baada ya Rais kuapishwa na kulifungua bunge, jambo la msingi ili kutengeneza usawa afanye yafuatayo
Apunguze maslahi ya wabunge
Darasa la saba wasiingie bungeni
Abadili sheria viti maalum vifutwe
Walipwe kutokana na elimu zao
Walipwe mafao yao baada ya kutimiza miaka 60. Hapa watapigania fao la...
Bila maneno mengi, ninaomba ITV wakiongezee muda kipindi cha Dakika 45 kwa kipindi hiki cha uchaguzi angalau kiwe kwa dakika 80.
Pia kifanyike hata kwa wiki mara tatu.
ITV niwasikivu na weledi katika habari nadhani wataona na watafanya maboresho kwenye muda.
Ningetamani sana kama ningemsikia mgombea uraisi mwenye Sera kama vile:
. Kuweka wazi mshahara na marupurupu atakayojilipa
. Kusema atapunguza mshahara na posho zake
. Kupunguza ukubwa wa serikali
. Kupunguza idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge hasa viti maalum maana hawapo huru kutoa maoni...
Huu mtandao unazidi kuwa KERO kwa BAADHI ya watumiaji.
Hivi nikwanini mnagawanya dakika za kutumia mchana na nyingine za usiku? Tena eti kuanzia saa nne usiku, hivi mtu mzima anaongea mambo gani usiku huo kila siku?
Kama kwa utafiti wenu mmeona wapo wateja wenu wengi wanatumia muda huo,basi...
Habari ya wakati huu wanajukwaa hili huru.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge/wawakilishi na Madiwani vimekuwa vikiendeshwa vipindi mbalimbali vihusuvyo mwenendo wa siasa kama vile ilani za vyama, sera na ahadi mbalimbali.
Kupitia ITV kipindi cha Dakika 45, mtangazaji huyo nimekuwa...
Huu ni ujumbe kwa mh. Majaliwa Kassim waziri mkuu wa serikali ya awamu ya tano.
Maumivu na uchungu alivyovipata Moro akifika Tanga anaweza akashangaa na hatimaye kulia kabisa
Ukija kwenye migogoro ya ardhi,utasikitika maana ilianza kutengenezwa na mkurugenzi,maafisa ardhi na mwanasheria wa...
Habari ya mwisho wa wiki wanajukwaa
Sikutatu zilizopita niliandika habari yenye kichwa cha habari mkuu wa shule aliyeshindikana katika jiji la ,Jafo njoo umng'oe.
Wadau waliowengi wamekua na mtazamo ambao sio sahihi kwangu kwakuona kama vile ninamajungu,chuki au roho mbaya. Naomba niwaambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.