TANESCO Morogoro manispaa, huyo mkataji wa zamu leo ni mwanafunzi wa field? Mmemtuma kuangamiza watu wa Bigwa?
Kuweni na nidhamu huu ni UPUMBAVU, eneo la kuanzia Bigwa Stand mpaka Misongeni wiki hizi za hivi karibuni mnalichezea rafu sana.
Acheni upumbavu kama kuna hitilafu kateni rekebisheni...
Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
Hii ni aibu sana kwa Star times, wamekata matangazo ya ITV ili WANANCHI wasione mahojiano kati ya Tundu Lissu na ITV kwenye kipindi cha Dakika 45.
Wakati huo huo tbc wao wako hewani vizuri kabisa, hivyo basi, kama kwako matangazo ya ITV yamekatwa, ingia mtandaoni kwenye platforms za ITV Tanzania
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.
Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua.
Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
Salaam wana JF.
Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi.
Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa naliingiza nyavuni kabla ya dk 5 kuisha then najiweka sawa kwa round ya pili na 3. ambazo huchukua si...
Heri ya siku kuu na mapumziko,
Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro.
Anasema mwaka 1958 walihamishwa kutoka serengeti kwenda Ngorongoro kwa ahadi ya kutokuja kuhamishwa tena na serikali ya...
1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha.
2. Tunataka Katiba Mpya je, yale yaliyopo Katiba iliyoko tumeyatekeleza hata kwa 75%?
3. Taifa letu sasa lina Watu Wanafiki ambao...
Kwa kawaida kipindi hiki kinasimamiwa na Ndugu Farhia Middle kila siku ya Jumatatu kujadili/kumuuliza maswali mwalika katika kipindi hicho.
Mwalikwa wa leo alikuwa ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson. Kipindi cha leo kimekuwa very boring na hakina ladha. Msimamizi wa leo hana mbinu kabisa...
Dakika 45 za Mhe. Mwigulu Nchemba nilisikiliza kwa umakini mkubwa na baadaye nimekubaliana naye juu ya tozo ya miamala ya simu kwa sababu zifuatazo:- (1) Alitamka wazi kuwa makato yanayoelezwa na watu kuwa ni kubwa ni upotoshaji.
Yeye alisema kama mtu atatuma mathalani Tshs.1,000,000 makato...
Ujenzi huo utaanza miezi minne ya mwanzoni mwa mwaka huu wa 2021. Usafiri wote wa umma utakuwa chini. Mwanamfalme Salman ametangaza lengo lake la kuanzisha mradi wa ujenzi wa mji usiokuwa na barabara na usioruhusu magari na kutoa maelezo ya taarifa hiyo siku ya Jumapili.
Kwa mujibu wa mwana...
Bila maneno mengi, ninaomba ITV wakiongezee muda kipindi cha Dakika 45 kwa kipindi hiki cha uchaguzi angalau kiwe kwa dakika 80.
Pia kifanyike hata kwa wiki mara tatu.
ITV niwasikivu na weledi katika habari nadhani wataona na watafanya maboresho kwenye muda.
Unajua mtoto akishashiba halafu akiwa na hela mkononi anaweza kuichezea hata awapo chooni na ikidumbukia ndio akili zinamkaa sawa.
Kesho David Kafulila atakuwa ITV katika kipindi cha Dakika 45 ambapo amealikwa kama mchambuzi wa maswala ya siasa kuzungumzia uchaguzi mkuu.
Ikumbukwe kuwa mke wa...
Habari wadau wa JF.
Niende kwenye swali hapo juu. Na kumbuka mwaka 2011 kipindi cha ITV dk 45 kikianza kurushwa hewani, mtangazaji wake wa kwanza ni Selemani Semunyu.
Huyu mtangazaji alipotea ghafla na kipindi kuanza kuendeshwa na watangazaji wengine tofauti.
Je, mtangazaji huyu yupo kituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.