Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,370
- 3,148
Habari ya wakati huu wanajukwaa hili huru.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge/wawakilishi na Madiwani vimekuwa vikiendeshwa vipindi mbalimbali vihusuvyo mwenendo wa siasa kama vile ilani za vyama, sera na ahadi mbalimbali.
Kupitia ITV kipindi cha Dakika 45, mtangazaji huyo nimekuwa nikimuona anavyowahoji wanasiasa na nimebaini kwamba yupo huru zaidi maana sijawahi kumuona kama anashabikia upande wowote wa chama cha siasa.
Leo amemhoji Dkt.Hussein Mwinyi kwakweli hakumuacha akaondoka na kiu kubwa waliyonayo watanzania.
Hongera Dada wewe ni mwandishi huru.