Hili la walimu kufanya mitihani kabla ya kuajiriwa, Mawaziri nao wapewe mitihani kupata walio bora

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
2,385
3,182
Wanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema.

Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira.

Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa.

Hivi mtu kama profesa kweli anaweza akaja na wazo hilo?
Ukifuatilia utendaji wa mawaziri unasikitika kilasiku nimatamko. Ninashindwa kuelewa kama nchi kweli watu wote wamechoka kiasi hicho? Elimu hamna kitu maziro kibao. Huko afya NHIF nikichefuchefu eti afya za watu zinawekwa rehani sasa angalia hao mawaziri hawana hata habari. Nenda nishati nimgao wa umeme usiokoma. Sukari imekua adimu kuliko hata shanga na sindano. Magufuli alisema huwezi ficha sukari kama sindano. Imekua kinyume chake.
Huyo waziri wa fedha matamko yake ndio mabovu kuwahi kutokea. Eti maisha sio magumu maana kuna pleti namba E kibao. Eti waziri ndio amemaliza kujenga hoja.
Ukienda ujenzi eti waziri juzi kati anamwambia mkandarasi TANROAD daraja lipitike ndani ya masaa matatu. Unajiuliza anajua masaa matatu yana dakika ngapi? Anajua na kuona uzito wa daraja analozungumzia. Mawaziri wa matamko

Mkendwa ameshindwa kupigania maslahi ya walimu na mazingira yao duni ya kazi,anaongea upupu. Eti nae ni profesa. Hebu waachwe wafundishwe na wasimamiwe sio kwamba kua profesa ndio kuweza kufanya maamuzi
IFIKIE MAHALI HATA HAO MAWAZIRI WAPEWE MITIHANI ITOKANAYO NA SERA ZA WIZARA LENGWA.

Hilo litaacha wasisumbue watu na matamko yao ya hovyo
 
Wanafunzi ni wengi zaidi ya walimu ila huwa wanapewa mitihani na hakuna urasimu wala rushwa.
Ameshindwa kupigania maslahi ya walimu na mazingira yao duni ya kazi,anaongea upupu. Eti profesa
Walimu mpiganie maslahi yenu wenyewe, msitarajie muajiri wenu atajikumbusha haki zenu.
 
Wanaleta siasa kilamara,wamaeshitua mwakajana kua kibali cha kuajiri kimetolewa na MAMA,imebaki stori tu,hadi sasa hawasemi chochote au ndo wanatunga mitihani?
Walete hiyo mitihani ambayo ninao uhakika itafanywa siku moja kwa masaa kadhaa,halafu matokeo yatatolewa jioni ya siku hiyohiyo.
Mwanya wa rushwa utatanuka sana kwenye hili.Hapo wale waliomaliza muda mrefu watakua wamepatiwa majibu kua tumewapatia hawa waliomaliza 2023 au 24 Kutokana na passmarks ambazo wala hazitakua na uhalisia.
Wanaleta siasa.Walete huo mtihani tufanye,waajiri wale watakaoajiriwa,kama tutakosa sawa tu,kama ikitokea tukakosa tena,basi.
 
Wanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema.

Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira.

Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa.

Hivi mtu kama profesa kweli anaweza akaja na wazo hilo?

Ameshindwa kupigania maslahi ya walimu na mazingira yao duni ya kazi,anaongea upupu. Eti profesa
IFIKIE MAHALI HATA HAO MAWAZIRI WAPEWE MITIHANI ITOKANAYO NA SERA ZA WIZARA LENGWA.

Hilo litaacha wasisumbue watu na matamko yao ya hovyo
haina haja 🐒
 
Wanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema.

Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira.

Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa.

Hivi mtu kama profesa kweli anaweza akaja na wazo hilo?
Ukifuatilia utendaji wa mawaziri unasikitika kilasiku nimatamko. Ninashindwa kuelewa kama nchi kweli watu wote wamechoka kiasi hicho? Elimu hamna kitu maziro kibao. Huko afya NHIF nikichefuchefu eti afya za watu zinawekwa rehani sasa angalia hao mawaziri hawana hata habari. Nenda nishati nimgao wa umeme usiokoma. Sukari imekua adimu kuliko hata shanga na sindano. Magufuli alisema huwezi ficha sukari kama sindano. Imekua kinyume chake.
Huyo waziri wa fedha matamko yake ndio mabovu kuwahi kutokea. Eti maisha sio magumu maana kuna pleti namba E kibao. Eti waziri ndio amemaliza kujenga hoja.
Ukienda ujenzi eti waziri juzi kati anamwambia mkandarasi TANROAD daraja lipitike ndani ya masaa matatu. Unajiuliza anajua masaa matatu yana dakika ngapi? Anajua na kuona uzito wa daraja analozungumzia. Mawaziri wa matamko

Mkendwa ameshindwa kupigania maslahi ya walimu na mazingira yao duni ya kazi,anaongea upupu. Eti nae ni profesa. Hebu waachwe wafundishwe na wasimamiwe sio kwamba kua profesa ndio kuweza kufanya maamuzi
IFIKIE MAHALI HATA HAO MAWAZIRI WAPEWE MITIHANI ITOKANAYO NA SERA ZA WIZARA LENGWA.

Hilo litaacha wasisumbue watu na matamko yao ya hovyo
Well said! hata wakiwa wameshachaguliwa mawaziri wapewe mitihani ya kuwapima kama bado wana ueledi walioajiliwa nao. Hata Walimu wa vyuo vikuu, wapewe mitihani ya masomo wanayofundisha yao kuona kama bado wako kwenye required standards za kuwafundisha wanafunzi! Siyo wanawasukumia wengine mitihani
 
Hapo akili zitawakaa sawa. Watapunguza matamko
 
Well said! hata wakiwa wameshachaguliwa mawaziri wapewe mitihani ya kuwapima kama bado wana ueledi walioajiliwa nao. Hata Walimu wa vyuo vikuu, wapewe mitihani ya masomo wanayofundisha yao kuona kama bado wako kwenye required standards za kuwafundisha wanafunzi! Siyo wanawasukumia wengine mitihani
Kwani uwaziri hutokana na ajira ipi?
 
Wanajisumbua tu kinachosumbua sana kada ya UALIMU ni maslahi duni sio hizo porojo zao.

Hayo yote bila maslahi bora ni kazi bure nipo paleee nimekaa...
 
Huyu waziri kiukweli yupo vizuri sana kwenye kuwanyoosha walimu na moja ya maeneo ni hili la kuwafabyisha mtihani. Ikitokea unakuja kufanya mtihani miaka 5 hadi 6 tangu ujipatie Degree yako pale TEKU sio rahisi ukafaulu na hapo ndipo atakuwa ameisaidia serikali kutoajiri
 
Back
Top Bottom