Search results

  1. kasanga70

    Morali Imekata Kabisa

    Wasalaam Takribani miaka 25 iliyopita nilikuwa natamani sana kufahamu mama Tanzania amebeba matarajio yangu ya kimaisha kwa kiasi Gani. Nilifatilia sana siasa za nchi yangu, nilijihusisha na siasa, nilifatilia bunge jeshi letu,watu maarufu viongozi wa siasa n.k nilitamani wawe role model...
  2. kasanga70

    Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

    Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani. Napenda kuwakumbusha tu taifa hili lina watu maskini wengi sana tena wanateseka mno wakati mwingine kwa sababu ya mifumo...
  3. kasanga70

    Shida ya Yanga imeanzia hapa

    Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia. "Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame", uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia...
  4. kasanga70

    Simba Sports Club kazi mnayo

    Ninaangalia mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Al Hilal Nina haya niliyoyaona. 1. Timu ina vipasi fulani hivi ambavyo havina impact yoyote. 2. Simba hamna timu ya ushindani tunacheza kitoto sana. 3. Nimependa physic na height ya wachezaji wa All Hilal na hizi ndizo height tunaenda kukutana nazo...
  5. kasanga70

    TANROADS imeshindwa kuwajibika kwa kujali usalama wa watumiaji wa vyombo ya moto ?

    Naomba kutoa dukuduku zangu kama mtumiaji wa kudumu wa barabara ya Dar to Mbeya. Kuna visa 3 vinanikera sana. 1. Hawa jamaa mashimo njiani mwiko kufukia hadi ajali itokee, kiongozi alalamike au kuna msafara mzito. Inaonekana mameneja wa mikoa ni kula lager tuu hawakagui Barabara. Kichefuchefu...
  6. kasanga70

    Mkurugenzi Manispaa Iringa Kunani? Mji umekuwa mchafu na viongozi hawajali

    Wasalaam Miaka michache ilikuwa ukiingia mkoa Wa Iringa utakuta mji ni msafi hadi unavutia. Hili Leo ni story. Wiki nzima nimekuwepo Iringa hususan stendi ya zamani, inasikitisha. Matakataka kila kona. Uchafu umetapakaa, stendi mabarabarani no body cares. Hata maeneo ya wazi kabisa ni hatari...
  7. kasanga70

    Barua ya wazi kwa klabu ya Simba

    Wasalaam Klabu yangu kubwa nawashauri tena. Niliwambia ukweli mechi ya Red Arrows ndicho kilichotokea. 1. Katika vilabu vikubwa Afrika mmo top ten lakini utani uwanjani na kuchangamka mwishoni mwa mechi itaendelea kuwacost. 2. Upangaji Wa kikosi ndio mnapoteaga balaa. Yaani wewe ni klabu kubwa...
  8. kasanga70

    Barua ya wazi kwa Club ya Simba: Simba Sports Club

    Wasalaam, Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira. Wanasema hivi; 1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana utapata magoli. Mabeki wake hawajui KBS kucheza cross hasa baada ya kukimbizwa na mawinga. Red arrows...
  9. kasanga70

    Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

    Kuna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out. 1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa...
  10. kasanga70

    Biashara ya Giza kwenye Usajili wa Taasisi za Dini

    Kuna mambo hii nchi ukitafakari sn unaweza kukosa majibu. Taasisi husika zinazosajili institution nyeti kama za Dini Ni vijiwe vya kupigia hela tu, waziri yupo miaka nenda Rudi, msajili yupo nk. Ukienda pale kwa msajili wa Taasisi hizo kwanza unakutana na majimama fulani yanakuchanganya kwa...
  11. kasanga70

    Serikali ilisema inakata tshs 1000 tu kwa nyumba za kawaida wamekata tshs 2000

    Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana...
  12. kasanga70

    Makato ya miamala unaweza fikiri kuna mwizi kakuibia live

    Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn? Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact...
  13. kasanga70

    Simba washaondoka pre-season Wenzao bado wapo madukani

    Haya tena. Nawapongeza Yanga ingawa mambo ya uwanjani bado lkn naona msimu huu wamejitahidi kuwa serious na usajili. Kinachonishangazaga ni maandalizi yao ya timu. Hivi Sasa bado nadhani wapo madukani wanaendelea na sagulasagulaa ya wachezaji ligi ikianza lawama zinaanza. Tufike mahali...
  14. kasanga70

    Hivi ukitaka kutoa mapendekezo ya vyanzo vya Kodi kwa Taifa, serikali inasikia kupitia njia ipi?

    Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine. Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja...
  15. kasanga70

    Kuna hatari kizazi hiki kikaaminishwa kuwa Tundu Lissu ni moja ya Watu wabaya na sio wazalendo kwa Taifa

    Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli. 1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe. 2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo...
  16. kasanga70

    Hivi TANROAD mikoani mnafanya kazi gani?

    Hakuna kitu mnanikera kama mashimo yaliyoko lami ambayo yanadumu mwaka mzima. Mashimo yanaharibu gari, yanasababisha ajali mbaya Sana na kupunguza uzalishaji na nguvu kazi ya Taifa. Juzi nimepita njia ya Iringa Dodoma. Mashimo yaleyale niliopita mwaka juzi nimekuta yameongezeka hasa hasa...
  17. kasanga70

    Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

    Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili...
  18. kasanga70

    Ukiambiwa shetani ni Mungu wa dunia hii watafakari PSSSF

    Ukitaka kujua kuwa kuna sheria ambazo devil yuko behind hizo sheria kutana na watu kama PSSSF waliokuwa pspf na ppf kama uliacha kazi au uliachishwa! Imagine five years taasisi zote hizo hazioni michango yoyote toka kwa mwanachama regardless aliacha au aliachishwa kazi jibu lao rahisi tuu as if...
  19. kasanga70

    Nahitaji Mwalimu mkufunzi wa walimu wa nursery haraka

    Habari ndugu zangu! Ninahitaji Mwalimu mzoefu anaeweza kumtrain Mwalimu wa kawaida wa shule ya msingi kupitia crash program ya wiki tatu nimlipe kisha tuachane naye! Kama upo unajitambua na unajielewa tuwasiliane kwa wasap +255625602588 Ahsante
  20. kasanga70

    JESHI LA POLISI: kwepeni aibu Hii

    Wiki zima nimekuwa na safari za gongo la mboto to chanika! Aibuuu! Kati ya g/mboto to chanika kuna kilomita kati ya 18/20 hv. Traffic police vituo 5 Nimeshuhudia haya kila Sikh Gongo la mboto basi linasimamishwa traffic anakimbiziwa tsh elfu 2000, baghdad mwisho wa lami basi linasimamishwa...
Back
Top Bottom