kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 227
- 517
Wiki zima nimekuwa na safari za gongo la mboto to chanika! Aibuuu!
Kati ya g/mboto to chanika kuna kilomita kati ya 18/20 hv. Traffic police vituo 5
Nimeshuhudia haya kila Sikh
Gongo la mboto basi linasimamishwa traffic anakimbiziwa tsh elfu 2000, baghdad mwisho wa lami basi linasimamishwa traffic anapokea tsh 2000 pugu shuleni basi linasimamishwa traffic anapokea tsh 2000 kigogo fresh kituo cha kwa pinda basi linasimamishwa mikwara kibao anapewa elfu 2000 kabla ya Kwazoo opposite na Uhuru town basi linasimamishwa elfu 2000 inatoka hapa konda machozi yanamlengalenga anamwambia dereva akapaki gari kazi haifanyiki, kituo cha mwisho na cha sita magenge karibu na hospital mpya basi linasimamishwa dakika 10 elfu 3000 inatoka konda katepeta vibayaaa sana.
Jeshi letu nini hiki jmn!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Umbali wa km 18 vituo 6 Vya ukaguzi mmewahi kuona wapi jambo hili??? Askari ana mshahara konda hana mshahara hata hicho kdg kinanyang'anywa???? Bado hajapeleka hesabu! Kuweni watu basi huu ni unyama ambao hata shetani huwa anahuruma!
Imeniuma sana