Nahitaji Mwalimu mkufunzi wa walimu wa nursery haraka

kasanga70

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
212
489
Habari ndugu zangu! Ninahitaji Mwalimu mzoefu anaeweza kumtrain Mwalimu wa kawaida wa shule ya msingi kupitia crash program ya wiki tatu nimlipe kisha tuachane naye! Kama upo unajitambua na unajielewa tuwasiliane kwa wasap +255625602588
Ahsante
 
Nadhani nimeweka mawasiliano hapo kama unaiweza hiyo kazi useme unataka tsh ngapi siwezi kupata na wasiohitaji hapa
 
Back
Top Bottom