Serikali ilisema inakata tshs 1000 tu kwa nyumba za kawaida wamekata tshs 2000

kasanga70

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
212
489
Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
 
Mbona kila kitu mnamtaja mama. Mama ni kiongozi mzuri. Anasikiliza na anakubali ushauri wa wataalamu. Walalamikieni wabunge wenu mliowachagua ambao ni wawakilishi wenu. Waambieni na wao wakatwe kodi.
 
Kinachokera yaani ili makato tu haya yarekebishwe inaweza kukuchukua gharama na usumbufu wa ajabu. Halafu uje kusikia Kuna wahuni wanapiga hizi helaa daa tuyaache tu hamna namna
 
Inamaana hamjaona huu waraka wa wazi kwa umma..

Na unafikiria mishahara iliyosemwa itaongezwa Mei mosi 2022 itatoka wapi si ni humo humo kwa kodi hizo!!!

Kumbuka hizo si kodi za dhuruma ni za kiuzalendo tu!!

Kondi iendeleeeeeeee.
IMG-20210820-WA0028.jpg
 
Kwa hiyo kodi ya jengo imekuwa elf 24 badala ya 12.......au ndo ile kuupiga mwingi.
 
Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom