kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 212
- 489
Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk
Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.
Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.
Wadau mnasemaje??