Ukiambiwa shetani ni Mungu wa dunia hii watafakari PSSSF

kasanga70

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
212
489
Ukitaka kujua kuwa kuna sheria ambazo devil yuko behind hizo sheria kutana na watu kama PSSSF waliokuwa pspf na ppf kama uliacha kazi au uliachishwa!

Imagine five years taasisi zote hizo hazioni michango yoyote toka kwa mwanachama regardless aliacha au aliachishwa kazi jibu lao rahisi tuu as if unawaomba msaada! Wanakwambia subiri miaka 55! Ukiuliza kwanini eti SHERIA!!!!! As if imetoka mbinguni! Yaani Hela wamekukata weee ktk mshahara wako sasa unaambiwa tutakupa miakakumi au ishirini ijayo hata kama huna mpango tena wa kuajiriwa!!!!!

1. Hawajali unahitaji kufanya nn na pesa yako wanachoamini retirement inatengenezwa ukizeeka! Dull thinking!
2. Hawajali unasomesha!
3. Hawakopeshi
4. Jibu pekee watakupa! Ni sheria! Bado hatujapokea maelekezo ya kulipa!

Hii dunia hasa dunia ya tatu inasononesha saana!!
Nawatakia heri ya mwaka mpyaa PSSSF
 
Je mtu mwenye miaka 40 anaposubiri kufika 55 wanampa kile alichokatwa au wanaweka na faida nono?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lao huwa ni rahisi sana! Utalipwa kulingana na formula ya pensheni ya wakati huo! Ukiwauliza ukifa je? Wanakwambia hapo sawa ukifa ndio ndugu zako/watoto watakuja kuomba michango yako uliochangia ndio ilipwe! Hata ukifa sasa HV! Hahahaaa! This country
 
Back
Top Bottom