Search results

  1. Isaack Newton

    Mpiga bass guitar anahitajika haraka Zanzibar

    Habari wakuu, tunahitaji mpiga bass guitar wa kila Jumapili kwenye ibada kanisani, muda kuanzia saa tatu mpaka saa tano na nusu. Masaa mawili na nusu kila Jumapili, kwa bei ya 15000/= kila Jumapili. Tupo Zanzibar, guitar lipo nyuzi tano ni jipya halijatumika hata kidogo. Atakaeridhia kwa hiyo...
  2. Isaack Newton

    Msaada anaejua gharama za kupima kiwanja na kuweka bikoni

    Habari wakuu, Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama za kupima huwa zinakuwaje anifahamishe.
  3. Isaack Newton

    Kwa wakazi wa Zanzibar ofa hii hapa

    Habari wakuu,! Nauza kitanda cha mbao cha sita kwa sita, kipo vizuri, nimehamishwa kikazi, ni kizito mno nimeona nikiuze tu. Kwa atakae hitaji anicheki, bei laki 4 tu mpk laki 3 na 80. Nipo zanzibar mtoni jeshini. Ni kitanda tu bila godoro. Pia nauza honda aina ya klick iko vzr, jino moja tu...
  4. Isaack Newton

    Naomba ushauri wa kisheria kuhusu Mwajiri kulazimisha nivunje mkataba

    Habarini wakuu! Nimeleta suala hili kwenu wataalamu wa sheria ili mnisaidie. Nafanya kazi kampuni fulani ambayo baada ya tamko la serikali kuhusu kuongezewa mishahara kwa sekta binafsi, kampuni imeshindwa kumudu hilo ongezeko la mishahara. Mwajiri alichokisema ni kwamba yeye kashindwa kumudu...
  5. Isaack Newton

    Vitanda vya kisasa vya sofa bei nafuu Zanzibar

    Habari wakuu.! Natengeneza vitanda vya kisasa vya sofa kwa bei nafuu, nipo Zanzibar. 4/6 bei laki tatu na nusu 5/6 bei laki nne. 6/6 bei laki tano ukihitaji nicheki 0679478758 au 0624078758
  6. Isaack Newton

    Anaejua bei ya pikipiki TVS 125 anijuze.

    Habari wakuu Nahitaji kununua pikpiki aina ya TVS 125 kwa matumizi yangu binafsi. Anaejua bei yake kwa sasa anijuze tafadhali.
  7. Isaack Newton

    Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

    Habari wakuu! Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa anatumiwa meseji kila siku ya Ku confirm. Anasubiri deadline ifike then aombe tena chuo kingine tofauti...
  8. Isaack Newton

    INAUZWA Jiko la gesi la kukaangia chipsi pamoja na regulator yake linauzwa

    Jiko la gesi LA kukaangia chipsi linauzwa kwa 70000 tu. Lina regulator ya high pressure na pipe yake ya mita tatu. Limetumika mwezi mmoja tu. Lipo mbezi beach-salasala. Atakaehitaji anicheki 0679478758 / 0744069243
  9. Isaack Newton

    Kabati la biashara la vioo nauza kwa laki moja

    Kabati zuri kabisa la kuuzia chipsi lina portion tatu na vioo safi naliuza kwa being ya laki moja tu. Limetumika wiki mbili tu. Nipo mbezi beach sala sala. Atakae hitaji anicheki 0679478758 au 0744069243. Karibuni.
  10. Isaack Newton

    Natafuta fundi wa Pressure Washer za magari

    Habari wakuu.! Natafta mtu anayejua kutengeneza pressure washer ya magari. Tatizo la machine ni kile kichwa chenye pistoni kinachosukuma maji yatoke kwa presha Kali, kina changanya maji na oil, nimetafta seal ili nibadilishe lakini hazipatikani. Kwenye ufundi huo au kama una mshikaji ana ujuzi...
  11. Isaack Newton

    INAUZWA Vitanda vya kisasa vinauzwa bei nafuu

    Bei ya vitanda vya kisasa sawa na buuure kabisa, nipo Mbezi beach -Salasala. 0679478758 4 kwa 6 , 250000 5 kwa 6, 300000 6 kwa 6 , 350000 Karibuni sana.
  12. Isaack Newton

    Kwa wapenda vyombo vya muziki, bass guitar na combo yake zinauzwa kwa bei nafuu

    Habar wakuu,! Bass guitar pamoja na combo yake vinauzwa kwa pamoja. Being ni laki tano(500000). Combo ilikuw inatumika kwa askofu Gwajina haina tatizo inagonga muzki mzito unaotak ila kwa nyuma haina mfuniko wake. Bass guitar ni mpya bado, imetumika miezi mitatu tu. Atakae hitaji anicheki...
  13. Isaack Newton

    Ifanye gari yako ionekane mpya kwa kushonea roof, seat cover, dashboard n.k. check attachment hapo chini

    Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari. Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
  14. Isaack Newton

    Nauza laptop aina ya "HP"

    Habari wakuu! Nauza laptop aina ya HP imetumika mwaka mmoja na nusu, betri iko fresh inakaa na chaji masaa matatu lakini kwenye keyboard yake kuna baadhi ya batani zinasumbua. Kwa atakayehitaji bei ni 270,000/=. Napatikana Mbezi Beach - Salasala. 0679478758.
  15. Isaack Newton

    Vitanda bora vya sofa kwa bei ndogo kuanzia laki mbili tu, hebu vicheki

    Weka oda yako nikutengenezee kitanda cha sofa. Bei zake 4 kwa 6 laki mbili na ishirinI. 5 kwa 6 laki tatu na ishirini 6 kwa 6 laki nne na thelasini. usafiri BuuUuuuure kwa wakazi wa DAR. napatikana mbezi beach. what's up number, 0679478758.
  16. Isaack Newton

    Msaada tafadhali kuhusu zile friji za kampuni ya pepsi, jinsi ya kuzipata

    Habar wakuu.! Nahitaji friji la kampuni ya PEPSI, sasa sijui taratibu za wale jamaa wa PEPSI maana nasikia wanatoa bure, mwenye kujua taratibu zao naomba anifahamishe au kama kuna mtu analo ila halitumii.naishi Dar es salaam
  17. Isaack Newton

    NATAFTA NUNCHAKU ( CHENI ZA KUNG FU)

    Habari wakuu nahitaji kujua sehemu wanapouza NUNCHAKU (CHENI ZA KUNG FU) maana nilizo nazo ni local sana huwa zinachomoka niwapo mazoezini, hivyo anayejua ni wapi naweza kuzipata zinazouzwa madukani anijuze. Mimi ni mkazi wa Dar ila kwa sasa nipo Mbeya. Natanguliza shukrani zenu.
  18. Isaack Newton

    Natengeneza na kuuza vitanda vya sofa kwa bei poa kabisa

    Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwamba mimi ni mwanafunzi wa chuo TUMAINI-MAKUMIRA MBEYA CAMPUS.Natengeneza vitanda vya masofa kwa bei poa kama ifuatavyo. 1. sita kwa sita ni laki tatu.(300000) 2. Tano kwa sita ni laki mbili na hamsini (250000) 3.Nne kwa sita ni laki...
  19. Isaack Newton

    Nyumba inapangishwa -Dar-mbagala kuu.

    Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa napangisha nyumba iliyopo mbagala kuu karibu na shule ya msingi ya maendeleo mita mia 200 kutoka barabarani chumba kimoja na sebule na choo cha ndani kodi ni elfu 90 kwa mwezi maji yapo ya uhakika tena karbu na mlango Mwenye...
  20. Isaack Newton

    Msaada wa haraka, kuhusu vipimo vinavyoonesha kuwa mtu kafanya mapenzi

    Habari wakuu; Jamani mimi naomba kujuzwa kwamba hivi mtu akifanya mapenzi halafu akakaa wiki moja,je akienda hospitali kupima je vipimo vitaonesha kuwa alifanya mapenzi? Naomba kujuzwa maana mimi nimefanya mapenzi na mchumba wangu ila bahati mbaya siku hiyo msichana alichelewa kufika kwao...
Back
Top Bottom