tvs

 1. Chisaye

  Je, ninunue pikipiki aina ipi kati ya Boxer BM 150 na TVS HLX 150

  Habari wakuu nataka ushauri nataka kununua pikipiki binafsi kwa ajili ya bodaboda ipi iko vizuri kati ya boxer 150 na tvs150? - Kuanzia engine - Fuels - Speed - Rough road na appearance === Boxer BM 150 TVS HLX 150
 2. M

  Kati ya TVS HLX 150 na Hero dawn 150 ipi bora?

  Wakuu hivi kati ya TVS HLX 150 na Hero dawn 150 ipi bora?
 3. Medy2seven

  Nauza Pikipiki aina ya TVS HLX125

  Wadau wa jamii forum nauza pikipiki yangu aina ya TVS star hlx 125.. Napatikana Ukonga Dar es Salaam. Price Tshs.920,000/= Hakuna udalali Mhusika ni mimi mwenyewe Call 0652015525
Top Bottom