Msaada tafadhali kuhusu zile friji za kampuni ya pepsi, jinsi ya kuzipata

Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
521
250
Habar wakuu.! Nahitaji friji la kampuni ya PEPSI, sasa sijui taratibu za wale jamaa wa PEPSI maana nasikia wanatoa bure, mwenye kujua taratibu zao naomba anifahamishe au kama kuna mtu analo ila halitumii.naishi Dar es salaam
 
Nkali mimi

Senior Member
Oct 20, 2016
139
250
Habar wakuu.! Nahitaji friji la kampuni ya PEPSI, sasa sijui taratibu za wale jamaa wa PEPSI maana nasikia wanatoa bure, mwenye kujua taratibu zao naomba anifahamishe au kama kuna mtu analo ila halitumii.naishi Dar es salaam
Kama mimi niliwafuata wakanambia ninunue cret 15 na inabidi uwe na tin number na leseni ili wajiridhishe nawewe wawe wanakutembelea kuja kuangalia kama hujabadilisha matumizi.
 
Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
521
250
Kama mimi niliwafuata wakanambia ninunue cret 15 na inabidi uwe na tin number na leseni ili wajiridhishe nawewe wawe wanakutembelea kuja kuangalia kama hujabadilisha matumizi.
Mimi nina carwash na ina leseni kabisa sasa wateja wangu wanalalamika vinywaji unataka niwawekee. Sasa leseni ya carwash naweza nikaitumia?
 
AnthonyGasper

Senior Member
May 11, 2019
179
250
Mimi nina carwash na ina leseni kabisa sasa wateja wangu wanalalamika vinywaji unataka niwawekee. Sasa leseni ya carwash naweza nikaitumia?
mzee hapo kwenye carwash tafadhari share uzoefu kidogo nipo interested na biashara
Ila sijui mwanzo wala mwisho. Naomba mchanganuo wa gharama za vifaa na wapi vinapatikana kwa urahisi, asante.
 
Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
521
250
mzee hapo kwenye carwash tafadhari share uzoefu kidogo nipo interested na biashara
Ila sijui mwanzo wala mwisho. Naomba mchanganuo wa gharama za vifaa na wapi vinapatikana kwa urahisi, asante.
Ukipata sehemu nzuri carwash inalipa mkuu, na ukipata vijana wanaopiga kazi vizuri na waaminifu katika kazi. Vifaa kariakoo vipo vingi tu mfano uwe na mashine ya kunyonyea vumbi, na mashine ya kupigia maji. Na vitu vidogo vidogo kama polish, airfresh, wax
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom