chipsi

Chipsi mayai (Swahili for "chips and eggs"), also known as zege, is a popular street food found in Tanzania, East Africa. In its most basic form, chipsi mayai is a simple potato-egg omelette. It is available in most regions of Tanzania, from the most remote villages to large towns. Food stands both indoors and on streets make them to order.
It is generally prepared with chips, oil and beaten eggs fried together in a pan. It is often served with Kachumbari.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kula hizi chipsi, tupeni uzoefu

    Ukisafiri toka DAr kwenda mkoa ukapita Kituo cha Kibaha Stendi na Pale Picha ya Ndege utaletewa Chips. Je, hizi ni chips au unga wa ngano umewekewa rangi na nyanya chungu? Msamvu je?
  2. Candela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu umemuoa afu anakupikia vyakula vya banda la chipsi

    Guys guys, soon ntakuwa single aisee. Nimeloa huyu mwanamke ila kwangu kapageuza Banda la chips aisee. Yaani nakula vyakula ambavyo naweza pitia Banda la CHIPSI chap. Leo atakaanga ndizi mzuzu sijui, kesho atakaanga chipsi. Akiwa hajisikii kupika ataenda kununua bandani. Sasa si Bora nikae...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Je mayai na kuku wa kizungu wanafaa Kwa familia ulaji w mara Kwa mara? Au ni ya kubutudikia Kwa wauza chipsi na nyama magengeni

    Je yanafaa kama lishe yenye virutubusho Bora? Na kama hayafai kwanini na inakuwaje yapo sokoni. Nimebeba kuku WA kizungu na WA kienyeji kwakweli naona WA kienyeji anakosa ujazo na uzito alafu ni GHALI KULIKO huyu WA kizungu Sasa Niko njiani panda usiku huu , nahitaji kufanya maamuzi
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka leo chipsi mayai, mishikaki na mirinda baridi zinarubuni mabinti wengi, hii combination ina siri gani ?

    Ni miaka zaidi ya 20 sasa imepita tangu niwajue mabinti wengi waliorubuniwa kirahisi na hii combination huku wengine wakijazwa mimba, kukatisha masomo na wachache waliobahatika wakiolewa. Nilidhani ni mambo yaliyopita baada ya taasisi mbalimbali kutoa elimu lakini nachokiona nimebaini hii ni...
  5. Silivian

    JamiiForums Tanzania Chipsi za mtaani zinabaki kuwa bora na tamu

    Chips za mtaani zinabaki kuwa chips bora na tamu kuliko chips za sehemu yeyote ile. Though upishi wa chips ni mmoja lakini bado utashangaa radha zinatofautiana au waungwana huweka vidawa. Hasa chips inayopikwa sehemu chafu chafu huwa tamu sanaaaa kumzidi hata huyo KFC
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa mwanza nauza kabati la chipsi laki mbili tu

  7. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Chipsi: Faida na Changamoto kwa Mtaji wa TZS 2M

    Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi Nifanye nini kuepuka 1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine 2.Changamoto na namna ya kuziepuka 3.Nifanye nini ili kuvutia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Toa neno kuhusu hizi chipsi

    😁😁😃
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiuno hana kisa chipsi kuku ya mapenzi

    Salaam alaikum, Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa chipsi alizomnunulia mpenzi wake. Iko hivi, jamaa ana mpenzi wake chuoni na kwa alivyokuwa anaona...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kuwarubuni Wasichana kwa Usafiri na Chipsi ni Ukatili wa Kijinsia na Uhalifu kama uhalifu mwingine

    Kuna baadhi ya watu wanatumia changamoto zinazowakumba watoto wa kike kujinufaisha, pasipo kujua kuwa wanatekeleza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Vishawishi kama vile vyakula (mfano chipsi), usafiri (boda boda na magari), na vingine vya aina hii vinatumika kuvutia na kudanganya watoto wa kike...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Chaguzi si uadui tujifunze kwa wenzetu waliko busy kugawa upendo. Trump apika na kugawa chipsi mgahawani!

    Chaguzi hushindwa kwa kuwavutia wapiga kura: Chaguzi hazishidwi kwa shinikizo au wizi: Kuna ya kujifunza hapa kama tuna macho lau masikio!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

    Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule. Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini Shukran
  14. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

    Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Jamani nilichokikuta kwa mfanyakazi wangu kupika chipsi zege na samaki

  16. banalunda

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza chipsi

    Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam. Aliye serious anicheki PM tafadhali.
  17. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi

    Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba. Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo; i) - Sinza ii) - Kinondoni iii) - Magomeni !v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya chips

    Wana JF nauza hivo Vifaa; -Kabati kubwa ngazi tatu -Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa -Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida -Jiko la mishikaki -Meza ya kuweka Kabati -Makalai mawili ya viazi na kuku - Flampeni 2 -Vyombo na vifaa vingine kama Taa kubwa Bei 380K vyote..... Eneo lipo...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyegendua chipsi yai haendi mbinguni;Nilipata mke wa kizungu sababu ya chipsi yai (zege)

    Kwa bongo huu msosi umesababisha mimba nyingi za utotoni,usaliti,ukimwi nk. Kama unadhani huo msosi limbwata lake ni bongo tu umekosea,haki ya nani aliyeugundua motoni moja kwa moja Miaka kadhaa ya nyuma katika kutafuta maisha nikajikuta niko nchi moja yenye wazungu wengi,nilizoeana na mama...
  20. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

    Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki. Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Back
Top Bottom