Natengeneza na kuuza vitanda vya sofa kwa bei poa kabisa

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
619
Reaction score
371
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwamba mimi ni mwanafunzi wa chuo TUMAINI-MAKUMIRA MBEYA CAMPUS.Natengeneza vitanda vya masofa kwa bei poa kama ifuatavyo.

1. sita kwa sita ni laki tatu.(300000)
2. Tano kwa sita ni laki mbili na hamsini (250000)
3.Nne kwa sita ni laki mbili(200000)
4. Tatu kwa sita ni laki moja na hamsini.(150000)

Kama wewe ni mkazi wa mbeya ukihitaji kitanda napatikana kwa namba zifuatazo
0746670091 au 0679478758.
IMG-20171118-WA0000.jpg
IMG-20171118-WA0002.jpg
IMG-20171124-WA0002.jpg
 
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwamba mimi ni mwanafunzi wa chuo TUMAINI-MAKUMIRA MBEYA CAMPUS.Natengeneza vitanda vya masofa kwa bei poa kama ifuatavyo.

1. sita kwa sita ni laki tatu.(300000)
2. Tano kwa sita ni laki mbili na hamsini (250000)
3.Nne kwa sita ni laki mbili(200000)
4. Tatu kwa sita ni laki moja na hamsini.(150000)

Kama wewe ni mkazi wa mbeya ukihitaji kitanda napatikana kwa namba zifuatazo
0746670091 au 0679478758.
img-20171118-wa0000-jpg.639765
img-20171118-wa0002-jpg.639766
img-20171124-wa0002-jpg.639767
 
Mkuu nipo Bagamoyo nahitaji 6x6 vitatu navipataje ?
 
mimi mkuu ni mkazi wa dar na mwzi wa 12 kwenye tar 20 nitakua dar maana nipo huku mbeya kimasomo. Naweza nikavitengeneza then nikafanya utaratibu wa usafiri maana vitanda kama hivi vinahitaji uangalizi mkubwa wakati wa kuvisafirisha kulingana na material yake yalivo
 
Me mwenyew nataka sasa nipo kibiti huku jaman napataje............hivi na wewe kwa uliamua kukaa huko mbeya Sijui wapi jamani

Nipo huku mbeya mkuu kimasomo lakini ni mkazi wa dar.Kama unahitaji naweza nikatengeneza then nikafanya utaratibu wa kukisafirisha.
 
mimi mkuu ni mkazi wa dar na mwzi wa 12 kwenye tar 20 nitakua dar maana nipo huku mbeya kimasomo. Naweza nikavitengeneza then nikafanya utaratibu wa usafiri maana vitanda kama hivi vinahitaji uangalizi mkubwa wakati wa kuvisafirisha kulingana na material yake yalivo
naomba ukifika dar unitafute in box si hata dar unaweza ukanitengenezea?
 
Nimeona ila mimi nipo manyara. Nitavipata vp?
Mkuu naweza nikafanya taratibu za usafiri ili niweze kukisafirisha au kama ukiweza kupata lori linalofanya safari za mbeya na manyara uongee nao then mimi nikitengeneze ili wakiwa wanakuja huko wakibebe maana vitanda vya aina hii mkuu vinahitaji uangalizi mkubwa kulingana na material yake yalivo.
 
unaitendea haki elimu yako. hao wanaosubiri wawe mabosi kwenye maofisi watangoja sana
 
Lakini wakuu natengeneza hivo vitanda nakuuza kikiwa hakina godoro maana hivo mnavoviona ni vya baadhi ya wateja wangu hapa chuoni ambavyo nilishavitengeneza. Mungu awabariki.
 
mimi mkuu ni mkazi wa dar na mwzi wa 12 kwenye tar 20 nitakua dar maana nipo huku mbeya kimasomo. Naweza nikavitengeneza then nikafanya utaratibu wa usafiri maana vitanda kama hivi vinahitaji uangalizi mkubwa wakati wa kuvisafirisha kulingana na material yake yalivo
Vitaweza kuhimili fataki za itifaki za mtu mwenye uzito kama wangu na mwenye shuguli pevu kunako 6x6?
 
mimi mkuu ni mkazi wa dar na mwzi wa 12 kwenye tar 20 nitakua dar maana nipo huku mbeya kimasomo. Naweza nikavitengeneza then nikafanya utaratibu wa usafiri maana vitanda kama hivi vinahitaji uangalizi mkubwa wakati wa kuvisafirisha kulingana na material yake yalivo
Unatumia mbao gani??
Maana hapo sasa mabao zenyewe zimefichwa kwa ndani sijui hata tutaziamini vipi kama umeweka Mbao Imara
 
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwamba mimi ni mwanafunzi wa chuo TUMAINI-MAKUMIRA MBEYA CAMPUS.Natengeneza vitanda vya masofa kwa bei poa kama ifuatavyo.

1. sita kwa sita ni laki tatu.(300000)
2. Tano kwa sita ni laki mbili na hamsini (250000)
3.Nne kwa sita ni laki mbili(200000)
4. Tatu kwa sita ni laki moja na hamsini.(150000)

Kama wewe ni mkazi wa mbeya ukihitaji kitanda napatikana kwa namba zifuatazo
0746670091 au 0679478758.
View attachment 639765 View attachment 639766 View attachment 639767
Mimi nahitaji taaluma hii,waweza kunifundisha?
 
Back
Top Bottom