Ifanye gari yako ionekane mpya kwa kushonea roof, seat cover, dashboard n.k. check attachment hapo chini

Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
535
224
Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari.

Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
IMG-20200810-WA0037.jpg
IMG-20200810-WA0024.jpg
IMG-20200810-WA0027.jpg
IMG-20200810-WA0020.jpg
IMG-20200810-WA0010.jpg
 

Attachments

 • IMG-20200810-WA0023.jpg
  IMG-20200810-WA0023.jpg
  56.3 KB · Views: 35
 • IMG-20200810-WA0014.jpg
  IMG-20200810-WA0014.jpg
  84.5 KB · Views: 34
 • IMG-20200810-WA0011.jpg
  IMG-20200810-WA0011.jpg
  91.1 KB · Views: 39
 • IMG-20200810-WA0012.jpg
  IMG-20200810-WA0012.jpg
  73.7 KB · Views: 42
 • IMG-20200810-WA0006.jpg
  IMG-20200810-WA0006.jpg
  80.7 KB · Views: 42
 • IMG-20200810-WA0037.jpg
  IMG-20200810-WA0037.jpg
  70.4 KB · Views: 37
 • IMG-20200810-WA0025.jpg
  IMG-20200810-WA0025.jpg
  60.1 KB · Views: 41
mkuu amna kitu bora kama kupimp gari upate ile comfort ya gari kuanzia seats, dashboard yote mbele, vioo plus tinted kali, na mwisho kupimp rims ziwe hata sport aiseee raha ya gari iko hapo bablaiiii.....

imagine una super custom hiace how much is the price budget.
 
mkuu amna kitu bora kama kupimp gari upate ile comfort ya gari kuanzia seats, dashboard yote mbele, vioo plus tinted kali, na mwisho kupimp rims ziwe hata sport aiseee raha ya gari iko hapo bablaiiii.....

imagine una super custom hiace how much is the price budget.
Hiace kwa upande wa roof, dashboard au seat mkuu?
 
Nimependa zaidi kwa Dashboard,hii mtasaidia sana zile gari zinazopata ajali na airbag kupasuka,sijajua kwa issue kama hiyo kwenye sterling mnafanyaje...?
 
Nimependa zaidi kwa Dashboard,hii mtasaidia sana zile gari zinazopata ajali na airbag kupasuka,sijajua kwa issue kama hiyo kwenye sterling mnafanyaje...?
Inawezekana mkuu, kama inawezekana nitumie picha yake tuione then tukuambie bei.
 
Weka bei elekezi,acha longolongo.
Hiyo uliyoonyesha hapo juu kwa safari ni 1m.
Ila mna kazi nzuri.
huwa hatuweki bei elekezi kwa sababu inategemea na jinsi gari yako ilivo, mfano kama unataka kuwekewa seat cover, kuna design tofauti na material tofauti kulingana na utakavyopenda. Hiyo sio kama sukari au chumvi yenye bei elekezi
 
Huyu naye Magumashi tu, maneno meeeengi anaulizwa bei analeta porojo kibao. Watu wa dizaini huwa naanza kuona dalili za Uswahili na Utapeli kufanya nao kazi. Unaulizwa Carina TI unaleta braa braa, umeulizwa Hiace Custom the same Story, inshort wewe hujajipanga kutushawishi hapa JF.
Otherwise analyse kwanza maombi ya Wadau hapo juu usilete braa braa ambazo hazina tija happa ebboo.
 
Back
Top Bottom