A dashboard (also called dash, instrument panel (IP), or fascia) is a control panel usually located directly ahead of a vehicle's driver, displaying instrumentation and controls for the vehicle's operation.
Habari wakuu.
Naimani wote mko salama na majukumu yanakwenda. Ninatafuta Kazi ya muda mfupi/mrefu ya kufanya data analysis and visualization na creating of dashboard kwakutumia Excel. Kama utahitaji niwepo kwenye data collection pia nipo tayari.
Natanguliza shukrani na kuwatakia siku njema
Msaada kwenye tuta,
Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini?
Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi
Kama unaendesha gari lako ghafla taa hii nyekundu ikawaka ni vema ukatafuta mahali ambako pako salama ukapaki gari yako na ukaizima kwanza.
Rangi nyekundu iliyoko kwenye hiyo alama inatosha kukuambia kwamba hilo ni tatizo ambalo linahitaji kutatuliwa haraka sana kabla halijaleta madhara...
Wakuu siku nyingi za nyuma kulikuwa na Dashbord ya modem iliyokuwa inatumika kupiga simu hata kwa hizi modem ambazo hazijachakachuliwa ili zitumie line zote.
Ni muda mrefu enzi zile akina mtimkavu ndo walikuwa wataalamu, sasa nimejaribu kutafuta thread iliyokuwa inazungumuzia hayo nimekoswa...
Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani.
Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi.
Kwa muonekano wa...
Wadau amani iwe kwenu.
Nina swali dogo tu ningependa kupata ufafanuzi ili kuongeza uelewa. Ni kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa imezimwa kwa zaidi ya masaa matatu na kuendelea?
Vile vile napenda kufahamu athari zinazoweza...
Unapoweka switch on kwenye gari lako ni vizuri ukahakikisha angalau taa hizi zifuatazo zinawaka kwenye dashboard ya gari lako. Taa hizo ni
1. Check engine
2. Oil pressure
3. Airbag
4. Coolant temperature
5. Battery
6. Automatic Transmission Temperature (Kama ipo)
7. ABS
In fact, Ni...
Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari.
Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
Asilimia kubwa ya magari huwa yanakuwa na warning lights(taa za tahadhari) za aina tatu. Aina hizi nitazitofautisha kulingana na rangi za hizo warning lights. Aina hizo ni kama ifuatavyo.
1. Kijani/Blue
2. Njano/Rangi ya machungwa
3. Nyekundu
Namba moja ipo tu kwa ajili ya kukupa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.