Search results

  1. Erythrocyte

    Hivi Sherehe za Muungano ni sawa na za Uhuru wa Tanganyika, mbona Maudhui yanafanana?

    Kwanza nachukua nafasi hii kuwapongeza wote mliosherehekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Mimi sikusherehekea) Bali Swali langu ni hili, hivi Sherehe za Muungano zina uhusiano gani na Uhuru wa Tanganyika? Maana yanayofanyika kwenye sherehe za Uhuru wa Tanganyika ndio...
  2. Erythrocyte

    Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

    Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
  3. Erythrocyte

    Mara : Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

    Wiki ya Maandamano bado inaendelea , ambapo leo imefika Mkoani Mara . Hapa Mkoani Mara anayeongoza Maandamano haya ni yule yule Mwamba Kabisa Freeman Mbowe Usiondoke JF kwa vile inatarajiwa Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia ili kutoa Mwongozo wa miaka 60 ya Muungano =========...
  4. Erythrocyte

    Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tundu Lissu anasimamia Maandamano ya kupinga Ugumu wa maisha , kikokotoo pamoja na sheria mbovu za Uchaguzi . Maandamano hayo yanafanyika Mkoani Manyara . Kama kawaida Mimi Mtumishi wako nitakuletea kila kinachojiri . Usiondoke JF =========== Tayari...
  5. Erythrocyte

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu. Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es...
  6. Erythrocyte

    Geita : Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba ile Wiki ya Maandamano ya kuoinga Ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria za kijinga za Uchaguzi Nchini Tanzania ingali inaendelea , Ambapo leo ni Zamu ya Geita . Tayari Mwamba kabisa wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu , Freeman Mbowe ametua Geita na...
  7. Erythrocyte

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime. Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na...
  8. Erythrocyte

    Picha kali ya wiki hii hapa, Maandamano ya CHADEMA Kahama

    Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama . Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
  9. Erythrocyte

    Tundu Lissu Kuibukia Manyara. Ataongoza Maandamano ya Amani

    Taarifa za Uhakika kutoka CHADEMA , zimeeleza kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu ataongoza Maandamano ya Amani Mkoani Manyara , baada ya kuahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko . Katika kufanikisha jambo hilo Takatifu Lissu atasaidiwa na Mtu wa Mungu Godbless...
  10. Erythrocyte

    Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania. Kama kawaida yetu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutawaletea kila kinachojiri. Usiondoke JF ==========...
  11. Erythrocyte

    CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine. Tundu Lissu ndiye aliyepangwa na Chama hicho kuzindua Wiki ya Maandamano Karatu.
  12. Erythrocyte

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona . Jambo la Muhimu ambalo hupaswi kusahau ni kwamba , January Makamba alipita bila kupingwa
  13. Erythrocyte

    Shinyanga: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya Kahama , Mkoani Shinyanga . Kama ilivyo kawaida , Mimi mtumishi wenu nitawaletea moja kwa moja kila...
  14. Erythrocyte

    Baada ya Maandamano kufanikiwa kwa 100%, CHADEMA yafanya kikao cha Tathmini

    Hili ni jambo lililofanyika usiku huu, hakuna kulala. Habari kamili hii hapa.
  15. Erythrocyte

    Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa . Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu . Hebu mwangalieni Pedeshee Amos Makalla akilalamika huko Mbinga.
  16. Erythrocyte

    RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito. Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua...
  17. Erythrocyte

    Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Leo ikiwa ni siku ya Kwanza ya Maandamano ya Amani , ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania , yaliyoandaliwa na Chadema , na ambayo yanatarajiwa kufanyika kote Duniani , Tumejipanga kuunganisha na matukio yote kutoka kote duniani . Usiondoke JF kwa Taarifa za...
  18. Erythrocyte

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili. Makonda anatarajiwa kufika...
Back
Top Bottom