kibatala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Stress Challengerr

    Kibatala ni adui wa haki

    Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki. Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi. Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda...
  2. O

    Wakili Kibatala, Shahidi walivyochuana taratibu za kumtambua mtuhumiwa

    Dar es Salaam. Kesi ya mauaji inayomkabili mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara na tajiri wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya imeendelea kuunguruma Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, huku wakili wa utetezi na shahidi wakikabana koo kuhusu gwaride la utambuzi...
  3. O

    RPC, Wakili Kibatala walivyochuana kesi mjane wa Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Wakili wa utetezi, Peter Kibatala katika kesi ya mauaji ya Aneth aliyekuwa dada wa mfanyabiashara wa madini Mirerani mkoani Manyara, marehemu Erasto Msuya (Bilionea Msuya), amechuana vikali na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Mchomvu...
  4. BARD AI

    Wakili Kibatala na Mbunge Hawa Mwaifunga wazua mvutano mzito Mahakamani

    Mvutano mkali umeibuka baina ya Kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala akimhoji mlalamikaji wa 11, Hawa Mwaifunga katika kesi ya wabunge 19 wa Viti Maalumu waliofukuzwa uanachama na chama hicho. Mvutano huo umetokea wakati Kibatala akimhoji Mwaifunga kuhusiana na muhtasari wa...
  5. figganigga

    HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  6. Suley2019

    Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  7. Tanzania Nchi Yetu Sote

    From Adv. Peter Kibatala

    From Adv. Peter Kibatala, Greeetings Brethren. I have the honour to announce that My Client, Jonas Afumwisye Mwangunga, who had been detained at the Central Police Station since his arrest on Friday 26th August 2022 at his Residence in Goba, Ubungo District, Dar es Salaam has been released on...
  8. BARD AI

    Kibatala azungumzia kukamatwa ofisa TRC aliyepinga tozo

    Peter Kibatala, Wakili anayemtetea Jonas Afumwisye, aliyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) amesema, mtumishi huyo aliyefukuzwa kazi, amekamatwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Afumwisye alifukuzwa kazi Agosti 19, 2022 na Bodi ya TRC kwa madai ya kupinga tozo za...
  9. The Sheriff

    Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

    Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama wa...
  10. Analogia Malenga

    Kibatala awataka Ndugai na Mahera mahakamani

    Wakili Peter Kibatala amesema atawahitaji aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Charles Mahera ili wahojiwe kuhusu wabunge 19 walioapishwa kwa tiketi ya CHADEMA. Kibatala amesema ni lazima viongozi hao wahojiwe kwa kuwa ndio waliowapitisha na...
  11. JanguKamaJangu

    Kina Halima Mdee na wenzake waangukia mikononi mwa mawakili wa CHADEMA

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa ruhusa ya Nusrati Hanje, Halima Mdee, Esther Matiko, Ester Bulaya, Jesca Kishoa na wenzao wawili kufika mahakamani na kuhojiwa na mawakili wa upande wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mawakili wa upande wa CHADEMA wakiongozwa na Wakili...
  12. M

    OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana. Peter Kibatala ni mmoja wao Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba. Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana Sifa ya kuwa Jaji ni...
  13. M

    UZUSHI Kibatala ajiondoa kumtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili

    Kumezuka tetesi ya kujitoa kwa uwakilishi wa wakili Peter Kibatala katika kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani CHADEMA, ambapo taarifa hizo ziandai kuwa kuanzia wakati huo wakili Peter Kibatala alikuwa amejitoa rasmi katika kesi ya Freeman Mbowe.
  14. voicer

    Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

    Jambo all Member's JamiiForums! Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake. Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni. Lakini, Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la...
  15. king kakaa

    Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Mimi Binafsi kabla ya kesi ya Mbowe nilikua sikuwahi kuwafatilia kiundani Mawakili wale wa Mbowe ila baada ya kuanza kuwatetea akina Mbowe ndipo nilipo anza kuvutiwa na kuwafatilia. Kila nilipo kuwa naingia JF kufatilia live kesi ile basi nilikua naanza kusoma pale mawakili wa upande wa utetezi...
Back
Top Bottom