Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.
Hili muhimu sana nimemsikia yule Mhutu KM wao akiwachimba biti kuwa ole wao watakaokisaliti chama kwenye uchaguzi, Tundu Lissu awaeleze kuwa kura ni siri hivyo wasiogope kuimwagalilia mbali pombe.
 
Tunataka statistics kutoka kwenye reliable sources. Sio hizo za kujitengenezea.Membe, alisema."Watanzania wanakuja ,kutusikiliza.Lakini ,wengine hawana kadi za kupigia kura.Wengine ,wanashangaa tu.Kwa hiyo sio wote wana pigs kura.Matokeo yakitoka nitacheka sana
Kama baada ya miaka 5 bado hatujamuelewa Meko anahakikisha kwenye Kampeni za mwaka huu anaweka wazi HULKA yake.

Tusijekulalamika akichukuwa Urais 2020-2025.

*Ukimpigia Kura mpinzani utalipa kodi kama kawaida lakini usitengeme huduma za Serikali*

28/10/2020 Kazi kwetu!
 
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele
Hata ufanye mazuri gani, ukiwa muuaji na mbaguzi hufai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.

Tunataka kiongozi wa kuwalinda Watanzania bila ya kujali itikadi zao, na siyo Rais wa kuwateka, kuwapoteza na kuwaua raia au kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi kwa vile tu wamekukosoa.

Tunamtaka kiongozi wa kulinda haki za raia.

Tunamtaka kiongozi ambaye anatambua kuwa yeye siyo malaika, na hivyo waliommpa mamlaka wana haki ya kumhoji, kumkosoa na hata kumwondoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usibishe ukweli kilakitu nikubisha jana mzee kaweka mikutano 2 pamoja na fiesta yake lakini bado jamakakusanya mkoa mzima unaona nikasi yamchezo
Mikutano ya Magufuli, bila wasanii, bila ya kuwaamrisha wafanyakazi wa serikali na wanafunzi, ni aibu tupu. Kuna siku angehutubia nyasi za viwanja pekee na viongoxi wa CCM na green guards tu.

Baada ya kuutambua ukweli huo ndiyo wakaja na uamuzi wa kugeuza mikutano yake ya kampeni iwe matamasha ya muziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasirudie kosa la 2015. Waliwekeza sana mijini kumbe kura zikapigwa vijijini.

Hii ndyo mbinu waliyobakiza. Ni kucheza na kura za vijijini bac
 
Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.
Ni kweli, ajaribu kuziomba kura za wana CCM kwani zile za wapinzani anazo tayari, ajaribu kuwaeleza ugumu wa maisha, uhuru ktk chama chao, namna kura za wajumbe hazikuthaminiwa na wakapewa wahamiaji kutoka vyama vya upinzani kugombea, namna chama cha CCM kinavyobadilishwa na ya kuwa baada ya miaka 5 kitakuwa kimeawaacha wafia chama wote.

Ajaribu kuwafundisha utaifa na kuwa ni jukumu la wote kuitengeneza nchi ili kuirudisha ktk misingi ya UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU.

Mwisho yale maswala ya kutekelezwa ktk siku 100 za kwanza akiweza awe anayasema ktk kila mkutano kwani yanawagusa watanzania wote pasipo kujali chama.
 
Wananchi walio wengi wana kuunga mkono, wamebaki wachache sana ambao bila shaka ni wanufaika wa utawala huu wa awamu ya tano.
Kaba hivyo hivyo, kamatia hapo hapo lazima nchi irudi mikononi kwa watanzania halisi ambao wana utu, upendo na wenye kujali maendeleo ya watu kuliko ma 'stegilazi'.

Hivyo kazia mambo haya kwenye kampeni zako:

- Katiba Mpya(Ya Warioba)
- Suala la mikopo.
- Fao la kujitoa.
- Kuendesha nchi kimajimbo
- Mengine kuhusu ufisadi kama huu wa kampuni moja ambayo inashinda kila Zabuni.

Umeeleweka, sasa wahitaji kuwavuta wananchi zaidi wa kuongeza kura. Una kura za waandishi wa habari, wakulima, wafanyakazi na wastaafu, wanafunzi wa vyuo nk.
Wana saccos mnajua kujipa moyo. Hivi kwa akili zenu nyingi, mnaamini huyu mwenye kutukana Serikali kila uchao atashinda?. Kumpigia Lissu kura, ni Sawa na kupoteza tu maana hata nusu ya kura alizopata lowasa hata pata.Ccm babalao.
 
Wasirudie kosa la 2015. Waliwekeza sana mijini kumbe kura zikapigwa vijijini.

Hii ndyo mbinu waliyobakiza. Ni kucheza na kura za vijijini bac
Vijijini wanaielewa Sera ya Magufuli, kuliko matusi na jazba za Lissu. Lissu akiongea kwa zile jazba, wana kijiji wanaona kama anawafokea tu.
 
Yani ukifuatilia uchaguzi humu Jf unaweza ukasema wapinzani wqtashinda kwa kishindo.
Miaka yote ya uchaguzi humu kunakuwa hivi hivi lakini kwenye uchaguzi wenyewe sasa.....
Kwanza wengi waliopo humu hawaendi kupiga kura
 
Wana saccos mnajua kujipa moyo. Hivi kwa akili zenu nyingi, mnaamini huyu mwenye kutukana Serikali kila uchao atashinda?. Kumpigia Lissu kura, ni Sawa na kupoteza tu maana hata nusu ya kura alizopata lowasa hata pata.Ccm babalao.
Punguza kuchanganikiwa unakoelekea nguoutavua ushindi nilazima hatumpi mchoma nyavu halali zawavuvi lisu anatosha
Ameisha sema atatulipa wavuvi vyeti feki Pia sera sasa ndio usiseme
1 Uhuru haki namaendeleo yawatu
2 katiba mpya jiwe imemshida
Unataka nini tena mtz hayo nibaadhi tu kura yako mpe ni yeye
 
NDUGU HII NCHI TAYARI ILISHAUNGANISHWA KITAMBO SANA NA HAYATI BABA WA TAIFA, HUYO LISU NDIO MDUDU GANI?

Ndivyo mnavyodanganywa watoto wa leo na jana . Nyerere alikuwa mdini nambari moja na ndiye alisabababisha mauwaji makubwa Zanzibar kwa uvamizi wake
 
Watanzania gani au wale wa Belgium?
oktoba 28 tukamchague Mgombea wa CCM Dkt Magufuli aliyeweza kuunganisha Watanzania wote pamoja.
Hakika tuna kila sababu ya kumchagua tena MAGUFULI

Ndio akazomewa kule Kagera ???

Na vipi anapoongea kisukuma kwenye mikutano yake ??
 
Tunataka statistics kutoka kwenye reliable sources. Sio hizo za kujitengenezea.Membe, alisema."Watanzania wanakuja ,kutusikiliza.Lakini ,wengine hawana kadi za kupigia kura.Wengine ,wanashangaa tu.Kwa hiyo sio wote wana pigs kura.Matokeo yakitoka nitacheka sana
Huyo Membe ni wa kwenu mbona na yupo kimkakati bahati mbaya hana timing.
 
Wana saccos mnajua kujipa moyo. Hivi kwa akili zenu nyingi, mnaamini huyu mwenye kutukana Serikali kila uchao atashinda?. Kumpigia Lissu kura, ni Sawa na kupoteza tu maana hata nusu ya kura alizopata lowasa hata pata.Ccm babalao.
Mnaambiwa ukweli mnasema ni matusi. Haya orodhesha matusi yake, siyo unakaririshwa na wanufaika, wakati ndugu zako huko Kolomije wanashinda njaa.
 
Back
Top Bottom