Leo walichelewa sana kuanza hadi nilikereka.Hata mimi nimeliona hilo.
Zitakuwa zinaruka kutoka burigi kwenda ukAtaongeza ndege nyengine 5, nilivosikia watu wakiongea.
Sasa unataka nini zaidi wakati hata Magufuli huwa anasema Tanzania ni tajiri. Sasa tunataka tunufaike na utajiri wa Tanzania directly .Ivi Unafikiri Steve Nyerere Angekuwa Mgombea Wa CHADEMA akaandikia kuyaongea Haya Nageshindwa Hahaha Tunachotaka sisi Atuambia Strategy ambazo atatumia kutimiza hayo Maana Hakuna Alichotumbia Atakifanya Kwa mfumi UPI kasema tu Bima ya Afya kwa kila Mtanzania how hamna plan Mnaongea Tu inatakiwa Mtushawish mtanya nini Tofauti na Magufuri mnayoyaongea ni cheap politics
Bars bara Mnapita Umeme mnatumia Maji kibwena amani telee unataka hela mfukoni Fanya kaziiii ufaidike ukiwa kitandani unachati.Sasa unataka nini zaidi wakati hata Magufuli huwa anasema Tanzania ni tajiri. Sasa tunataka tunufaike na utajiri wa Tanzania directly .
Kapangili nini zaidi ya Kutaja bila kufafanua ni jinsi gani Atawakwamua Watanzania anahisi wako kwenye dimbi la umaskiniTukija suala ka hoja na kuzipangilia TL hana mpinzani mbona!? Shida ipo kwa wapiga kura wengi bado hawajielewi kabisa. Elimu nchi hii bado inahitajika sana.
Salum Mwalimu anajua sana kuongea wampe dakika thelathini za kurusha makombora na Lissu amalize na sera.Naona walikuwa wanasubiri CCM wamalize.
Kwani kabla ya Magufuli Umeme,barabara hazikuwepo ?Barabara zimependenza tangia Mkapa,umeme REA upo tangia Kikwete.Bars bara Mnapita Umeme mnatumia Maji kibwena amani telee unataka hela mfukoni Fanya kaziiii ufaidike ukiwa kitandani unachati
Mzee wetu 2015 alikuwa anaongea dakika 5 tu kigugumizi humohumo kamaliza. Kingunge anaongea mpaka anapigiwa makofi aondoke
Kwani Unaowataja Hao Ni CHADEMA Hahaha Wacha Magu Aendeleze kumbe unaelewa impact ya CCM Halafu wajitoa ufahamuKwani kabla ya Magufuli Umeme,barabara hazikuwepo ?Barabara zimependenza tangia Mkapa,umeme REA upo tangia Kikwete.