Tundu Lissu anadai pesa ya matibabu kiasi Gani, na kwanini hajalipwa hadi Leo?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
16,602
25,182
Salaam, Shalom!!

Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

Nimelazimika kuuliza swali Hilo hapo juu baada ya kusoma madai ya Mh Tundu Lissu kuhusu matibabu yake aliposhambuliwa hayajalipwa Hadi Leo.

Kwa kuwa pesa anazodai Mh Tundu Lissu Si Mali binafsi ya kiongozi yeyote serikalini Bali ni pesa itokanayo na Kodi za wananchi na Iko kisheria kwamba matibabu ya mbunge hugharamiwa na Serikali chini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Swali LANGU Kwa Mh Lissu, anadai kiasi gani?

2. Swali Kwa Serikali, Kwanini TUNDU Lissu hajalipwa pesa zake za matibabu Hadi sasa?

Karibuni🙏
 
Gharama zake ni kubwa mno, kiasi kwamba ikitokea akawa kiongozi wa Serkali, itawagharimu walipa kodi wa Nchi hii fedha nyingi mno kumhudumia. Ni ngumu kuchagulika.

Yaani nafikiri itakuwa ni gharama zaidi kuliko zile za kuendeshea V8.
 
Nikisema kuwa wanaochelewesha malipo, walidhamiria asitibiwe,

Nitakuwa nimekosea?
 
Salaam, Shalom!!

Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

Nimelazimika kuuliza swali Hilo hapo juu baada ya kusoma madai ya Mh Tundu Lissu kuhusu matibabu yake aliposhambuliwa hayajalipwa Hadi Leo.

Kwa kuwa pesa anazodai Mh Tundu Lissu Si Mali binafsi ya kiongozi yeyote serikalini Bali ni pesa itokanayo na Kodi za wananchi na Iko kisheria kwamba matibabu ya mbunge hugharamiwa na Serikali chini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Swali LANGU Kwa Mh Lissu, anadai kiasi gani?

2. Swali Kwa Serikali, Kwanini TUNDU Lissu hajalipwa pesa zake za matibabu Hadi sasa?

Karibuni🙏
Kulingana na maelezo ya aliyekua spika wa bunge wakati Lissu anashambuliwa, bwana Job Ndugai ni kwamba hakuwa anajua Lissu alipo na baadae akamvua ubunge kwa utoro kwa maana iyo automaticaly anapoteza iyo haki ya kutibiwa na serikali, hata ivyo dunia nzima inajua yaliyomkuta Lissu kwaiyo alichokifanya Ndugai haikuwa busara.

Tukirudi kwenye maswali yako
1. Kiasi anachodai ni mpaka ifanyike calculations kujua. Kama Lissu mwenyewe anazo kumbukumbu za malipo za hospitalini itakua vizrui zaidi akiziweka wazi.

2. Nafikiri ni suala la ego tu. Serikali inataka Lissu apige magoti ili apewe izo pesa maana itaonekana kama msaada tu wakati huo Lissu kufanya ivyo anaona itachafua taswira ya alpha male aliyojitengenezea kisiasa.
 
Ni vyema Lissu akasema invoice ya matibabu yake inasoma Bei Gani na ataje mahala wanapokwamisha malipo.
 
Kwanini pesa zake za matibabu halipwi?

Kwani HAKI Huwa inabembelezwa?
Ni kwa sababu nchi haina utawala wa sheria. Ni nchi ambayo hata leo hii, Rais akisema Rabbon apewe shilingi bilioni 1, utapewa. Na hakuna atakayehoji au kuzuia.

Na pia Rais akitaka, anaweza kusema Rabbon awekwe mahabusu, mfungulieni kesi isiyo na dhamana, itakuwa hivyo.

Ndiyo maana Rais Magufuli alisema Lisu afukuzwe ubunge, asilipwe mafao ya ubunge, ikawa hivyo. Samia akasema, Lisu alipwe mafao yake ya ubunge, ikawa hivyo. Ina maana siku yoyote Samia akisema Lisu alipwe hela yake ya matibabu, atalipwa. Kwa sasa, Samia ameamua Lisu asilipwe hela ya matibabu, kwa sababu anazozijua yeye, ndiyo maana hajalipwa.

Mwakimu Nyerere baada ya kutoka madarakani alisema wazi kuwa nchi ina katiba mbaya inayomfanya Rais kuwa Mungumtu. Yaani wananchi wote wanaishi kwa hisani ya Rais.
 
Gharama zake ni kubwa mno, kiasi kwamba ikitokea akawa kiongozi wa Serkali, itawagharimu walipa kodi wa Nchi hii fedha nyingi mno kumhudumia. Ni ngumu kuchagulika.

Yaani nafikiri itakuwa ni gharama zaidi kuliko zile za kuendeshea V8.

Unafahamu gharama ambazo bunge lilitumia kumtibu Ndugai India? Unafahamu kuwa zaidi ya gharama ya matibabu, hata wanafamilia wake waliokuwa naye kule India walikuwa wakiishi hoteli ya nyota 5, na walikuwa wanalipwa posho ya dola 500 kwa siku?

Watu walipohoji kuhusu gharama hiyo kubwa, unalikumbuka jibu la Ndugai?
 
Ni kwa sababu nchi haina utawala wa sheria. Ni nchi ambayo hata leo hii, Rais akisema Rabbon apewe shilingi bilioni 1, utapewa. Na hakuna atakayehoji au kuzuia.

Na pia Rais akitaka, anaweza kusema Rabbon awekwe mahabusu, mfungulieni kesi isiyo na dhamana, itakuwa hivyo.

Ndiyo maana Rais Magufuli alisema Lisu afukuzwe ubunge, asilipwe mafao ya ubunge, ikawa hivyo. Samia akasema, Lisu alipwe mafao yake ya ubunge, ikawa hivyo. Ina maana siku yoyote Samia akisema Lisu alipwe hela yake ya matibabu, atalipwa. Kwa sasa, Samia ameamua Lisu asilipwe hela ya matibabu, kwa sababu anazozijua yeye, ndiyo maana hajalipwa.

Mwakimu Nyerere baada ya kutoka madarakani alisema wazi kuwa nchi ina katiba mbaya inayomfanya Rais kuwa Mungumtu. Yaani wananchi wote wanaishi kwa hisani ya Rais.
Kwahiyo wanataka wapigiwe magoti na kumpa masharti ndipo alipwe?

Sidhani kama Lissu Yuko tayari kwa Hilo.
 
Salaam, Shalom!!

Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

Nimelazimika kuuliza swali Hilo hapo juu baada ya kusoma madai ya Mh Tundu Lissu kuhusu matibabu yake aliposhambuliwa hayajalipwa Hadi Leo.

Kwa kuwa pesa anazodai Mh Tundu Lissu Si Mali binafsi ya kiongozi yeyote serikalini Bali ni pesa itokanayo na Kodi za wananchi na Iko kisheria kwamba matibabu ya mbunge hugharamiwa na Serikali chini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Swali LANGU Kwa Mh Lissu, anadai kiasi gani?

2. Swali Kwa Serikali, Kwanini TUNDU Lissu hajalipwa pesa zake za matibabu Hadi sasa?

Karibuni🙏
Tundu Lissu anachodai ni haki zake. Wals haombi huruma kwa mtu.
 
Raos Samia hajapenda. Bunge, Mahakama na taasisi zote nchi hii, zinaendeshwa kwa hisani ya Rais. Ukiona jema au baya, unue Rais amependa iwe hivyo.
Rais Samia akisema alipwe hata leo leo zote zinalipwa.
 
Back
Top Bottom