wanadiplomasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini kuwaondoa Wanadiplomasia kutoka Israel

    Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza. Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
  2. R

    Wanadiplomasia wetu waliopo Zambia na DRC Congo kwanini wanashindwa kumwambia Rais ukweli? Watanzania wanateseka kwenye hizi nchi hakuna wakuwatetea

    Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute fursa Sehemu nyingine Tumekuwa wepesi sana kutetea wageni badala ya kutetea watu wetu. Raia wa Kongo...
  3. PakiJinja

    Mzozo kati ya Canada na India una zidi kukua huku mahusiano kati yao yakizidi kuzorota huku kila upande ukifukuza Wanadiplomasia na kunyima Visa raia

    Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
  4. Jidu La Mabambasi

    Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla. Kizazi...
  5. JanguKamaJangu

    Sudan: Wanadiplomasia na raia wa kigeni waendelea kuhamishwa kwa kasi

    Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum. Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Hispania, Argentina, Colombia, Ireland, Portugal...
  6. K

    Tuweke utaratibu mzuri, wanadiplomasia wetu siyo Wahasibu/CPA's!

    Hawa diplomasia ambao hawajui chochote kuhusu mambo ya Fedha kuwapa majukumu ya kujua kila kitu kuhusu pesa na budget zao ni tatizo. Hiyo ingetakiwa kuwa kazi ya watu wengine na inawezekana kabisa serikali ingetoa kazi hii kwa chombo kimoja badala ya kuwapa kazi ambazo hawaziwezi. Yaani kuwa...
  7. beth

    Wanadiplomasia wa Hispania, Ufaransa na Italia wafukuzwa Urusi

    Taifa hilo limesema linawafukuza Wanadiplomasia 34 kutoka Ufaransa, 27 wa Hispania na 24 kutokea Italia. Mataifa hayo matatu ni miongoni mwa Nchi za Ulaya ambazo zimefukuza Wanadiplomasia zaidi ya 300 tangu vita kuanza Ukraine Mataifa hayo yaliwashutumu Wanadiplomasia wa Urusi kwa kufanya...
  8. beth

    Urusi yawafukuza Wanadiplomasia 31 kutoka Uholanzi, Ubelgiji na Austria

    Taifa hilo limewataka Wanadiplomasia 31 kutoka Nchi Tatu kuondoka siku kadhaa zijazo. Wizara ya Mambo ya Nje imeagiza Wanadiplomasia 15 wa Uholanzi kuondoka ndani ya siku 14 Agizo hilo pia limetolewa kwa Watumishi wa Ubalozi wa Ubelgiji baada ya Nchi hiyo kuwafukuza Wanadiplomasia 21 wa Urusi...
  9. mirindimo

    Wanadiplomasia na wataalamu naomba mnisaidie gharama za daraja kama hili tafadhali

    Naombeni makadirio yenu ili niingize kwenye bajeti unahisi kama hichi kidaraja kitagharimu kiasi gani ?
  10. H

    Havana Syndrome: Ugonjwa unaotesa wanadiplomasia na majasusi wa Marekani huku Urusi ikishutumiwa kuhusika

    Ugojwa huu ulianzia huko HAVANA nchini Cuba, ukiwapata wanadiplomasia wa Marekani na Canada na baadae kusambaa katika balozi nyingine za Marekani na kuwapata mashushushu wa Marekani (CIA)! Cha ajabu ugonjwa huu unawapata mabalozi na maafisa wa CIA hasa wale wanaojihususha kuichunguza Russia...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
Back
Top Bottom