Havana Syndrome: Ugonjwa unaotesa wanadiplomasia na majasusi wa Marekani huku Urusi ikishutumiwa kuhusika

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
1,335
1,509
Ugojwa huu ulianzia huko HAVANA nchini Cuba, ukiwapata wanadiplomasia wa Marekani na Canada na baadae kusambaa katika balozi nyingine za Marekani na kuwapata mashushushu wa Marekani (CIA)! Cha ajabu ugonjwa huu unawapata mabalozi na maafisa wa CIA hasa wale wanaojihususha kuichunguza Russia!

Chanzo cha ugonjwa huu bado hakijajulikana ni nini mpaka sasa ila watu wanaendelea kuumwa! Kwanini kiwapate maafisa wa Marekani tu na si wa nchi nyingine? Marekani anahisi Russia yupo chini ya huu ugonjwa akiwatageti makachero wa marekani wanaopewa oparesheni za kuichunguza Russia ama washirika wake!

kwa mujibu wa marekani ni kwamba kuna a well coordinated attack juu ya maafisa wake waliopo nchi mbalimbali na wote wanaonesha dalili zinazofanana lakini chanzo wala mhusika hawamjui

Dalili zake
  1. Kizungu zungu
  2. Kichefuchefu
  3. Kupoteza kumbukumbu
  4. Kupoteza uwezo wa kufikiri
  5. Kushindwa ku focus
  6. Nervousness
Matokeo ya huu ugonjwa ni kuvimba ubongo na kuchanganyikiwa

SWALI KUU: Kwanini huu ugonjwa uwapate wanadiplomasia wa Marekani tu na maafisa wa CIA tena walio maeneo tofauti tofauti? Sio ugonjwa wa kuambukiza

Nadharia juu ya huu ugonjwa:
  1. Wanasema ni mionzi (microwaves) ambazo zinatumwa kwa kifaa maalum kwenda kwa mhusika na huenda kuharibu neva za fahamu
  2. Madawa ya kuuwa wadudu mashambani yenye uwezo wa kuharibu neva za mwili
  3. Mawimbi ya sauti
  4. N.k
Makachero kadhaa waliripoti dalili za huu ugojwa pale tu walipofika vyumbani mwa hoteli walizofikia! Hebu fikiria unapewa mission hata kabla hujafika eneo la tukio kuna mtu ashajua mpaka hoteli utayofikia na anakusubiri na kuseti mitambo siku moja kabla hata ya ww hujafika na ukifika tu you get hit! Hapa tunaongelea makachero ambao tunaamini ni the best duniani yaani kina CIA wanavyofanyiwa

Mpaka sasa Urusi ndio nchi inayoshutumiwa kuhusika na huu ugonjwa na marekani tayari imeshaanza uchunguzi juu ya hili

read://https_www.msn.com/?url=https%3A%2F%2Fwww.msn.com%2Fen-xl%2Fnorthamerica%2Ftop-stories%2Fus-investigates-havana-syndrome-among-vienna-diplomats%2Far-AAMkZYb%3Focid%3Dmsedgdhp%26pc%3DU531


What is Havana syndrome?​


OVER 200 Americans have come forward with symptoms relating to Havana Syndrome, most of them US intelligence officers.
One former CIA agent described the incident that led to his Havana Syndrome as "a mass casualty event."

What is Havana Syndrome?​

Havana Syndrome is a set of medical issues reported by US and Canadian embassy staff in Cuba dating back to 2016, hence its name relating to a Cuban city.

Symptoms of Havana Syndrome include sudden vertigo, nausea, headaches and head pressure.Many reported hearing a large noise and intense pressure in their heads, leading to dizziness and even visual disturbances.A team of medical staff that studied these symptoms reported that nothing like them had ever been reported in medical literature.

What causes Havana Syndrome?​

The actual cause of Havana Syndrome is unclear, but reported symptoms appear to come from direct energy attacks.The National Academies of Sciences, Engineering and Medicine revealed in 2020 that the symptoms were consistent with the effects of directed microwave energy, which Russia has long studied.In 2018, US intelligence officials considered Russia a leading suspect in attacks that would result in Havana Syndrome, but this is inconclusive.The reason for the attacks is assumedly to gather digital data from US intelligence staff, but this remains just a theory.

Who does Havana Syndrome affect?​

Almost half of the reported cases of Havana Syndrome affect CIA officers or their relatives, 60 involve Defense Department officials, and another 50 are linked to the State Department.FBI agents and personnel report experiencing symptoms while overseas, especially in Europe and Central Asia, with about a dozen occuring in Vienna.

The first Washington DC case was reported in May, 2021 with the US investigating a possible microwave attack.About the cases, an FBI spokesperson said "In keeping with DOJ policy, the FBI can neither confirm nor deny the existence of specific investigations. However, we will direct you to recent statements made by Director Wray in testimony before Congress where he underscored the protection, health, and well-being of U.S. government personnel is the highest priority; we view all U.S. government personnel who have these symptoms as potential victims and will treat them as such; and we care deeply about our colleagues in the federal government."

A Defense Department spokesman said: "The Department is heavily engaged on this issue as a part of the [National Security Council]-led interagency process across the federal government to address anomalous health incidents, and is fully committed to determining both the causes and source."The safety, health and welfare of our personnel remains a top priority for the Department."
The Biden administration encourages US officials to come forward if they are experiencing symptoms.A senior administration official said: "In certain cases, these incidents have upended the lives of U.S. personnel who have devoted their careers to serving our country.
"Our government recognizes how important it is to make sure they get the care they deserve and that we get to the bottom of this as quickly as possible." Everything to know about Havana syndrome

'Havana Syndrome' attacks appear to be increasing on US soil


Tusubiri mpaka mwisho tuone itakuaje
 
Dalili zake
  1. kizungu zungu
  2. kichefuchefu
  3. kupoteza kumbukumbu
  4. kupoteza uwezo wa kufikiri
  5. kushindwa ku focus
  6. nerviousness
Kuna mwanaJF sikumbuki jina ila alipata aliomba msaada humu kuwa na dalili hizi na hakujua nini kimemsibu,
 
Brother PUTIN
Hua namuelewa sana shangazi yetu kansela wakudumu ujerumani kila nikisikia anakutana na Putin hua nacheka
Sijui nihistoria ya Putin na ujeruman mana shangazi naonaga mudawote mtetezi kuhusu putin
 
Brother PUTIN
Hua namuelewa sana shangazi yetu kansela wakudumu ujerumani kila nikisikia anakutana na Putin hua nacheka
Sijui nihistoria ya Putin na ujeruman mana shangazi naonaga mudawote mtetezi kuhusu putin
mahusiano ya ujerumani na urusi ni ya kibiashara zaidi, angela hasikilizi marekani linapokuja suala la kibiashara lenye maslahi kwa nchi yake mfano ni lile bomba la gesi la nord stream
 
mahusiano ya ujerumani na urusi ni ya kibiashara zaidi, angela hasikilizi marekani linapokuja suala la kibiashara lenye maslahi kwa nchi yake mfano ni lile bomba la gesi la nord stream
Nikweli
Tujiulize enzi PUtin anaishi ujerumani mashariki huko akipiga shughulizake za ukachero mana jamaa anaongea kijerumani kama lugha yamama ake hivi

Nikiangalia umri wake Putin na shangazi wakudumu kwenyekiti
Kama nizaidi yabiashara

Shangazi hanamume alitamani kuolewa namcheza mpira hakubahatika akagoma kabisa

Anko Putin akisemwa vibaya mama huishia kumrembulia jamaaa
Hatakama busnes Putin mjanjamjanja
 
Nikweli
Tujiulize enzi PUtin anaishi ujerumani mashariki huko akipiga shughulizake za ukachero mana jamaa anaongea kijerumani kama lugha yamama ake hivi

Nikiangalia umri wake Putin na shangazi wakudumu kwenyekiti
Kama nizaidi yabiashara

Shangazi hanamume alitamani kuolewa namcheza mpira hakubahatika akagoma kabisa

Anko Putin akisemwa vibaya mama huishia kumrembulia jamaaa
Hatakama busnes Putin mjanjamjanja
nachomkubali huyu mama hua hayumbishwi na marekani, akiamua kitu hua na msimamo thabiti
 
Back
Top Bottom