JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,308
- 5,462
Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza.
Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi mmoja uliopita.
Kulingana na Hospitali ya Al-Shifa ya Gaza City, takriban watu 200 wameuawa.
Serikali ya Afrika Kusini, ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikiunga mkono hoja ya Palestina, ililaani vikali Israel na kutaka kufutwa kazi kwa Balozi wa Israel, Eliav Belotsercovsky ikimtuhumu kwa kutoa "maoni ya kudharau" kuhusu Afrika Kusini.
Taarifa hiyo ilieleza kuwepo kwa Balozi Belotsercovsky nchini Afrika Kusini kuwa "kutokubalika", na kuongeza kuwa itafuata njia za Kidiplomasia kukabiliana na mwenendo wake Nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje, Naledi Pandor alisema Serikali inaamini "Hali ya kukabiliana na Israel imekuwa moja ya adhabu ya pamoja".
Israel inasema inajaribu kupunguza vifo vya raia na inashutumu Hamas kwa kutumia wasio wapiganaji kama ngao za binadamu.
Mamia ya raia wa Afrika Kusini wameandamana kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza katika wiki za hivi karibuni.
Mapema Mwaka 2023 Ubalozi wa Afrika Kusini Nchini Israel ulishushwa hadhi na kuwa ofisi ya mawasiliano.
########
South Africa says it will recall all of its diplomats from Tel Aviv following Israel's intense air strikes on Gaza on Sunday night.
The bombardment was one of Israel's heaviest since the war began a month ago.
According to Gaza City's Al-Shifa hospital, about 200 people were killed.
South Africa's government, which has long been a vocal supporter of the Palestinian cause, staunchly condemned Israel on Monday.
The government indicated that it might call for the removal of Israeli Ambassador Eliav Belotsercovsky accusing him of making "disparaging comments" about South Africa.
The statement described Ambassador Belotsercovsky's presence in South Africa as "untenable", adding it would pursue diplomatic channels to deal with his conduct in the country.
Foreign Minister Naledi Pandor said the government believes "the nature of response by Israel has become one of collective punishment".
Israel says it is trying to minimise civilian casualties and accuses Hamas of using non-combatants as human shields.
Hundreds of South Africans have protested against Israeli attacks on Gaza in recent weeks.
Earlier this year the South African embassy in Israel was downgraded to a liaison office.
Source: BBC