msajili

  1. jingalao

    Uchaguzi 2020 Msajili: Vyama vya siasa vyenye lengo la kushirikiana uchaguzi mkuu vimeshachelewa

    Afisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama ameeleza kuwa iwapo vyama vinataka kuunda ushirikiano vinapaswa kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu wa vikao rasmi na sio utashi wa viongozi. Ameainisha kuwa muda wa kufanya coallition ni miezi mitatu kabla ya kuanza kwa mchakato wa uchaguzi. Tuwe tunasoma...
  2. S

    Zitto baada ya kauli yako, usishangae Msajili akaishukia ACT - Wazalendo

    Nimesikiliza clip yako twitter kuhusu ni nini mtafanya mwaka huu iwapo mtashinda Uchaguzi halafu msikabidhiwe Serikali. Kwanza nikupongeze kwa kutokurudi nyuma hasa ukizingatia barua ile ya Msajili kwa chama chenu. Hata hivyo,pamoja na pongezi hizi, nawashauri mjiandae kwa lolote maana ni kama...
  3. S

    Uchaguzi 2020 Mwanasheria wa ACT Wazalendo: Msajili hawezi kukifuta chama

    Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban ametolea ufafanuzi juu ya Msajili wa Vyama kufuta usajili wa chama.Kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya. Ufafanuzi: "Kifungu cha 19(3) cha sheria ya Vyama vya Siasa inasema mamlaka ya msajili kufuta usajili wa chama cha siasa hayawezi...
  4. A

    Msajili wa vyama kukifuta ACT Wazalendo?

    Tarehe 14 Julai, siku moja baada ya picha za Bernard Membe kuwa na viongozi wakuu wa ACT Wazalendo kusambaa mitandaoni, msajili wa vyama vya siasa aliwaandikia barua chama kukusudia kukichulia hachua chama cha ACT kwa kile msajili anachokiita ukiukwaji wa sheria ya vyama vya siasa. (Soma...
  5. Civilian Coin

    Taarifa: Nimekwisha kula Kiapo (DEED POLI) na kwa msajili wa Viapo na Nyaraka (Mahakama ya Ardhi) kuanzia sasa nitakuwa naitwa DON NALIMISON

    Nyaraka hii, sahihi zimefichwa kwa sababu za kisheria tu. Mahakama ya Ardhi Nimekwisha lipia usajili na subiri hati yao tu muda wowote.@DON NALIMISON.
  6. J

    Baada ya CHADEMA kula ruzuku peke yake bila kuvigawia vyama shirika uchaguzi wa 2015 Msajili abadili kanuni na kuweka masharti magumu!

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 vyama vitakavyotaka kushirikiana ni lazima viingie mkataba wa kisheria na kuweka wazi maeneo ya ushirikiano wao. Msajili msaidizi mh Nyahuza amesema uchaguzi wa mwaka 2015 uliacha vidonda baada ya chama kimoja kilichoungwa mkono kupitia UKAWA kuvisahau...
  7. J

    Msajili: Mikutano ya Vyama vya Siasa inaratibiwa na Jeshi la Polisi kwa mujibu wa Katiba

    Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV Msajili Msaidizi Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la Jeshi la Polisi na ndio wanaopaswa kulitolea maelezo au elimu. Maendeleo hayana vyama
  8. Mwanahabari wa Taifa

    Chama cha Labour Tanzania chakanusha kushiriki kikao cha vyama 11 kumtaka Msajili achukue hatua dhidi ACT-Wazalendo kwa Uchochezi visiwani Zanzibar

    WanaJF wasalaam, Mambo ni mengi muda hakuna. Naanza kuuona Uzalendo na Umakini wa TLP hasa kwenye hili, TLP naombeni kadi yenu.
  9. Influenza

    Uchaguzi 2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

    VYAMA vya Siasa 12 vimeitaka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kumchukulia hatua kali za kisheria Mwenyekiti wa chama cha ACT wAZALENDO, Maalim Seif Sharif Hamadi kwa kutoa kauli za kichochezi ambazo anaenda kinyume na kanuni na sheria za vyama vya siasa nchini Pia, wamesema kiongozi huo...
  10. S

    Madai ya Zitto kukutana na Balozi wa Uingereza; Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze

    Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze. Kulingana na barua hiyo,Msajili...
  11. J

    Tujiandae kisaikolojia: Kama itathibitika pasi na shaka kuwa CHADEMA ilitumia ruzuku kinyume na sheria, Msajili atakifuta

    Ni vema tukalielewa hili mapema wakati uchunguzi kuhusu matumizi ya ruzuku kwa vyama mbalimbali ukiendelea. Wabunge wa Chadema wameeleza wazi kuwa matumizi ya ruzuku ndani ya chama hicho kwa muda mrefu yamekuwa ya "kienyeji" mno. Tusisahau kuwa Mh. Komu aliwahi kuwa mtunza hazina wa Chadema na...
  12. YEHODAYA

    Msajili wa vyama tusaidie: Ruzuku kazi yake kutibia Viongozi wa vyama? Mbowe rudisha milioni 400 za matibabu

    Kazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa...
  13. M

    Msajili abaini usiri fedha vyama vya siasa

    OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imemaliza kuhakiki vyama 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu na kubaini 18 havina uwazi katika masuala ya fedha kutokana na kutokuwa na mifumo sahihi ya kuweka fedha na kumbukumbu ya mapato na matumizi. Aidha, tathimini ya uhakiki huo uliofanywa na ofisi...
  14. J

    Uhakiki: Msajili akuta madudu NCCR Mageuzi na CHAUMA Zanzibar. Kimoja ofisi ziko sebuleni kwa mtu na kingine mali zake ni kiti na meza basi!

    Msajili wa vyama vya siasa ambaye kwa sasa anafanya uhakiki wa vyama vyote vya siasa nchini amekuta mapungufu kwa baadhi ya vyama vya siasa Zanzibar. Msajili amesema baadhi ya vyama hali zao zinatisha na kimojawapo ofisi yake ipo sebuleni kwa mtu ambapo familia ya mtu huyo inatumia pia sebule...
  15. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Uoga: 2020 Mwaka wa uchaguzi umefika lakini CCM yaendelea kuzuia Mikutano ya hadhara, Msajili wa Vyama aufyata

    Ili kuhalalisha uvunjifu wa Katiba ya nchi, Mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli alinukuliwa akitoa marufuku ya shughuli za kisiasa kwa kisingizio dhaifu cha kuleta maendeleo na kwamba wenye hamu ya kufanya siasa wasubiri mwaka wa uchaguzi 2020, Polisi wakadaka amri hiyo haramu kama kifanyavyo...
  16. Mapambano Yetu

    Msajili wa vyama vya Siasa hawa umri unawaruhusu?

    Nadhani kwa vile wahusika ni makada wenzio huwezi toa neno bali utasubiri mpaka upande wa pili nao ufanye hivyo kama ilivyokuwa kwenye makamanda
  17. Sky Eclat

    Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye

    Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye. Unadhani ni kwa nini?
  18. CalvinKimaro

    Msajili wa vyama vya siasa simamia sheria bila uoga

    Msajili simamia sheria bila uoga Nimeipitia sheria mpya ya usajili vyama vya siasa. Sheria hii inampa msajili mamlaka ya kusimamia chaguzi ndani ya vyama ili kuhakikisha haki imetendeka, taratibu za kupata viongozi zimefuatwa na demokrasia imezingatiwa katika kupata viongozi. Kwa utaratibu huu...
  19. J

    Msajili: Nafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Viongozi CHADEMA kuhakikisha haki inatendeka na Katiba kufuatwa

    Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote. Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na...
  20. W

    MSWADA: Sababu 50 za kuunga mkono, dhidi ya sababu 15 za kuupinga Mswada wa sheria ya vyama vya Siasa Tanzania, wa Oktoba 2018.

    A. SABABU 50 ZA KUUNGA MKONO. 1. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa itakuwa na jukumu la kusajili vyama vya siasa. 2. Kutoa elimu ya uraia ni jukumu la pili la Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, 3. Ofisi ya Msajili kuwa ndiye msimamizi wa mienendo ya vyama vya siasa vyote nchini Tanzania...
Back
Top Bottom