Umenifurahisha sana, lakini sheria ya vyama vya siasa si inataka kila chama kiwe na uchaguzi?Labda katiba yao haina kipengele cha uchaguzi
Wanadai wana demokrasia mtu yupo hapo kaganda toka 2005 sijui..Chadema bana yaani wakifika kwa mbowe lazima watafutize sababu
Kama JPM....kumbe mida fulani mko zinachajii eeh.Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
Tupe mrejesho wewe uliyeshadadia imekamatwa...Sasa iko wapi? Tunasikitika uongozi wa nchi kukosa kukaa Airport kuisubiri bombardier.
Huyu hata CCM wenyewe hawamkubali!!Kama JPM....kumbe mida fulani mko zinachajii eeh.
Hana impact yoyote kwa existence ya CCMJonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye.
Unadhani ni kwa nini?
View attachment 1285471