Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi
Kufuatia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kusimamisha ruzuku kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwanasheria na wakili, Edson Kilatu amehoji maswali 10 akitaka kuzingatiwa kwa Sheria ya vyama vya Siasa ya 1992.
Soma pia...
Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa...
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.
Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.
Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
Sasa ni dhahili, CCM imeazimia kuiua Chadema kwa kutumia vyombo vya Serikali/ dola baada ya hila na mbinu zote za kisiasa kufeli. Walianza kutoa hela kwa wajumbe wa Chadema ili Lissu na Heche wasiwe viongozi wakafeli, Wakatoa mabilioni ya shilingi kuhonga mamluki ili wajiondoe Chadema mradi huo...
Hili lilofanyika Leo ni HALALI Kwa Mujibu Katiba ya Chaumma?
Je, MTU anaweza hamia Leo Leo, Bila Mkutano Mkuu, Wala Baraza Kuu na akapewa Cheo?.
Msajili anasemaje katika hili?
Wakuu,
Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo.
Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa
Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa...
https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema;
"Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo."
"Nimekuuliza...
Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi
Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
Moja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu Watanzania mwaka huu 2025 ni kumteua Tundu Antipass Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki ulioshuhudiwa na Watanzania wote kupitia vyombo vya habari kulihitimisha rasmi siasa...
Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi:
---
Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo.
Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kuna mwanachama anasema kwamba Mnyika anashikilia nafasi ya Katibu Mkuu kinyume cha sheria, na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo...
Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??.
Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!.
Ama KWELI, No Reforms, No Election
Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi 18.2025
Soma Pia: CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis...
Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema.
Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa ukumbi chadema, basi wajiandae kwa lolote litakalotokea, vinginevyo Chadema waweke dhamana ya fedha...
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.