maalim seif

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Mohamed Said

  Maalim Seif na mimi

  MAALIM SEIF NA MIMI Nakumbuka kama jana vile siku niliyokutana na Maalim Seif kwa mara ya kwanza uso kwa uso Starlight Hotel mwaka wa 1992 na aliyenijulisha kwake alikuwa Sheikh Khalifa Hamisi. Siku zile Sheikh Khalifa alikuwa anaendesha gazeti la Mizani na mimi nikiwa mmoja wa waandishi wake...
 2. BAK

  Kukiri kwa viongozi wa CCM kuhusu Maalim Seif kutufumbue macho kuhusu kinachoendelea kwa Wapinzani nchini

  UKIRI WA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUHUSU MAALIM SEIF, UTUFUMBUE MACHO KUHUSU YANAYOENDELEA KWA FREEMAN MBOWE NA WAPINZANI WENGINE! Tulikuwa Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation. Tuliwasikiliza vizuri viongozi waandamizi wa CCM na Serikali yake, wastaafu na waliopo...
 3. H

  Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

  Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma) Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana.. Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
 4. Stephano Mgendanyi

  Ufunguzi wa mkutano wa kumbukumbu ya maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad

  UFUNGUZI WA MKUTANO WA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD. - "Nimesimama mikutano mingi kuongea na mingine ya kimataifa. Lakini sijaona ugumu kama naouona katika mkutano huu" - "Enzi za uhai wake, Maalim Seif alikuwa ni makutano ya watu, alikuwa ni kiongozi wa watu na alitokana...
 5. figganigga

  Zanzibar: Rais Samia kuwa Mgeni rasmi Maazimisho ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa siku mbili

  Rais Samia atakuwa Mgeni rasmi katika maazisho ya Hayati Maalim Seif Hamad Shalif Mjini Zanzibar. Maazimisho yatafanyika Golden Tulip Airport Hotel Zanzibar kuanzi tarehe 05 hadi 06 Novemba 2021 siku ya Ijumaa na Jumamosi. Je, rais Samia ni rais wa Wote? Maalim Seif alifariki dunia saa tano...
 6. Naipendatz

  Duni Haji kumrithi Maalim Seif Uenyekiti ACT Wazalendo

  Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa ikishikiliwa na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia Februari 17 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Duni maarufu kama ' Bob...
 7. Replica

  TANZIA Maalim Seif Mohamed Azzan afariki dunia, alikuwa mbunge wa zamani wa Pandani na muasisi wa mageuzi

  Marehemu Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kisiwani Pemba. Marehemu ni miongoni mwa waasisi wa harakati za mageuzi na kuwaunganisha wazanzibari, kupigania haki na demokrasia ya vyama vingi. Maalim Seif Azzan amewahi kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
 8. Erythrocyte

  Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

  Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif. Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
 9. T

  Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

  Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
 10. J

  Pemba waomba barabara inayoenda kwenye kaburi la maalim Seif iwekwe lami ili kuwapa wepesi maelfu ya watu wanaozuru kaburi kila siku

  Wananchi wa Pemba wameiomba SMZ iijenge kwa kiwango cha lami barabara iendayo kwenye kaburi la Maalim Seif kwani imeharibika sana hali inayopelekea magari kupakiwa umbali wa km 3 kutoka eneo la kaburi. Ombi hilo limetolewa mbele ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud aliyezuru...
 11. F

  Mchungaji Gwajima acha kupotosha, huwezi sema Maalim Seif muda wake wa kuishi umetosha, binadamu anaweza kuishi miaka zaidi ya 100

  Nimesikiliza clip ya Mchungaji Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima akijaribu kuhalalisha kifo cha makamu wa pili wa rais wa Zanzibar kuwa ameshafika miaka 70 hivyo hata akifa ni sawa kwa sababu binadamu tuliumbwa kuishi miaka 70. Naomba nimfahamishe huyo Gwajima ambaye binafsi siamini kama ni...
 12. K

  Serikali ilinde kaburi la Maalim Seif kuepusha fedheha!

  Wanabodi, nashauri, kinachotokea kwenye kaburi la aliyekuwa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad lilindwe kuepuka aibu tuendako. Kutokana na watu kuzuru kaburi la Maalim na kuondoka na udongo kwenye kaburi lake linaweza kuharibu hadhi ya heshima aliyopewa na...
 13. S

  Wenye maono kwanini kaburi la Maalim Seif linanukia harufu ya haliwudi ,sasa ni hatari huko.

  Embu mnaokaa kwenye mambo mengi kuna hili linalotokea sasa Pemba sehemu alipozikwa Al marhoum Maalim Seif Sharif Hamad,inasemekana watu wanakwenda kuchota mchanga wa kaburini na sasa polisi wanalinda lakini hata hivyo bado watu wanavizia na kuuchukua japo kwenye mfuko wa shati. Clip inayozagaa...
 14. mama D

  Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

  Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥 Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad === Katika hali ya kustaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza kuwa mchanga huo unachukuliwa kwa imani...
 15. J

  Zitto: Msaidizi wa Maalim Seif alinipigia simu mara 4 kutaka kunijulisha msiba sikupokea ndipo akanipigia Rais Mwinyi nikapokea kwa mujibu wa sheria

  Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa. Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa...
 16. J

  Zitto Kabwe: Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar tulilompelekea Rais Mwinyi limetokana na wosia wa Maalim Seif

  Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema jina walilompelekea Rais Hussein Mwinyi kwa ajili ya uteuzi wa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar limetokana na wosia aliouacha Maalim Seif mwenyewe. Zitto Kabwe amesema mtu huyo anaenda kumsaidia sana Rais Mwinyi na pia atawaunganisha wana...
 17. Mohamed Said

  Wapi Maalim Seif kafanana na Mwalimu Nyerere?

  PLUS TV BURIANI MAALIM: WAPI MAALIM KAFANANA NA MWALIMU? Leo asubuhi Plus TV walinitembelea nyumbani kunihoji kuhusu vipi Maalim alivyojenga Demokrasia Tanzania. Kipindi cha saa nzima. Tunakaribia kuhitimisha kipindi Mtangazaji Jumanne Juma mithili ya chui aliyejificha kichakani akanivamia na...
 18. J

  Mazishi ya Maalim Seif nilisikia mambo 3 muhimu Ibada, Madeni na Msamaha, Wakristo wanajikita kwenye Wasifu na Mashada

  Nilifuatilia kwa karibu shughuli za mazishi ya maalim Seif kuanzia msikitini pale Upanga hadi mazishi kule Mtambwe Pemba kupitia luninga ya Channel ten. Kitu kikubwa nilichojifunza waislamu kwenye mazishi wanamjali zaidi marehemu kuliko wao wanaobaki. Kwa mfano pale msikitini Upanga swala...
 19. K

  Namtafuta Membe msibani kwa Maalim Seif simwoni...

  Mzee Membe Leo camera hazijamnasa msibani, Wala hakuna sehemu ameandika au kutoa pole kwa msiba wa nguli wa Demokrasia Maalimu, Je Membe yupo wapi?
 20. Analogia Malenga

  Televisheni yafungiwa Zanzibar kwa ukiukwaji maombolezo ya Maalim Seif Sharif Hamad

  Tume ya Utangazaji Zanzibar imekifungia kituo cha televisheni cha Tifu kwa muda wa siku saba baada ya kudaiwa kurusha vipindi vinavyokwenda kinyume na uombolezaji wa msiba wa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad. Katibu Mtendaji wa tume hiyo, Omar Said akitoa taarifa...
Top Bottom