Search results

  1. Mbepo yamba

    Maswali yenye utata kumhusu Mungu

    1. Kwa mujibu wa maandiko, Mungu alimpa amri Adam na Hawa wasile matunda ya mti wa katikati. Hakuwaambia kuwa ni wa ujuzi wa mema na mabaya na wala hakuwaambia ungewafungua macho. Shetani yeye akawaambia watu hizo dondoo kuuhusu huo mti na matunda yake. Je, Shetani alisema ukweli? 2. Mungu...
  2. Mbepo yamba

    Mnaotumia Condoms mnawezaje?

    Kwenye hoja moja kwa moja. Mambo si mengi. Hebu tupeane uzoefu wenzangu mnawezaje kutumia condoms na mkafika mshindo chap? Mimi nikitumiaga hiyo mavitu aisee naweza kumchubua mtoto wa watu. Nakimbiza hata dakika 45 bila bila. ILA tukiingia nyama do 20 ndo wastani. Condoms naona hazileti...
  3. Mbepo yamba

    Wako wapi hawa watu?

    Wazee wenzangu habarini na amani iwatawale Ni muda kidogo umepita sijawaona humu jf kwenye majukwaa mbalimbali watu hawa. Mzee Tupatupa Ritz Mwanakijiji Jack Bauer (kama sijakosea uandishi wa jina lake) Na wengine wote ambao ama michango yao kwenye nyuzi anuai humu au nyuzi wanazoanzisha wao...
  4. Mbepo yamba

    Pubic hair nyeupe

    Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kujua hili. Je, kuwa na ‘v*uzi’ jeupe (unywele mmoja pekee) sehemu za Siri kuna maana gani? Au ni kawaida tuu? Yaani msitu wote uwe unaota mwezi isipokuwa mti mmoja tuu kila wakati ndo mweupe. Tena age ya mhusika ni ndogo tuu kwenye miaka 30.
  5. Mbepo yamba

    Nimeenda kwa mganga ameshindwa kupandisha pepo

    Wakuu nawasalimu. Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke. Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia...
  6. Mbepo yamba

    Tunapoufikia ukomo

    Ndugu wanabodi heshima yenu nyote. Awali ya yote mimi siyo mzima kiafya ya akili mpaka muda huu. Ninajiona kabisa endapo sintafanikiwa kwenye hili basi mwaka huu hautoisha kabla sijalala umauti. Iko hivi,. Nilikuwa mfanyakazi wa kampuni moja ya genera supply hapa jijini Dar nikiwa kama...
  7. Mbepo yamba

    Wajuvi wa mambo ya mawe (Gemstone), msaada

    Habari wakuu. Nina hili jiwe kama linavyoobekana kwenye hizi picha na nimeshindwa kulielewa ni jiwe gani. Nimehangaika kila sehemu kukawa na majibu yake tofauti. Wapo walisema ni quartz, wengine wakasema siyo jiwe, wengine wakasema ni mawe sijui ya jina gani. Sina ninalofahamu sasa. Nakuja...
  8. Mbepo yamba

    INAUZWA Chainsaw inauzwa

    Wakuu nauza chainsaw aina na brand ni kama inavyoonekana kwenye picha. Chainsaw hii ni used, imetumika mwezi mmoja tuu. Bei yake ni 1,400,000/= tuu. Mazungumzo yapo Mashine iko Mbeya. Interested buyer niwasiliane inbox tafadhali
  9. Mbepo yamba

    INAUZWA Mashine ya popcorn inauzwa

    Bado ni mpya iko kwenye hali nzuri kabisa Iko Kimara Dar es Salaam Tuwasiliane kwa 0679188106 Bei ni Tsh. 240,000
  10. Mbepo yamba

    Nimeamua tushirikishane kuhusu Biashara ya Mkaa

    Ni mkaa kutoka Chunya kwenda popote Tanzania kwenye soko zuri zaidi. Preferably mkaa uje Dar es Salaam kwa sababu ndiko kwenye soko la uhakika na lenye bei nzuri zaidi. Nimesajiliwa kuzalisha mkaa kutoka Chunya kwa mwaka huu wa uzalishaji ila tatizo ni uhaba wa mtaji uliotokana na changamoto...
  11. Mbepo yamba

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  12. Mbepo yamba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
  13. Mbepo yamba

    Simuelewi kabisa huyu mwanamke

    Ndugu zangu, niko kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa na msichana ambaye nimempenda kweli kweli. Plan yangu ni kumfanya mke wangu wakati wowote kuanzia sasa. Tumeshirikiana mambo mengi tuu. Tatizo lipo hapa. Ni mwanamke anayenificha mengi sana. Yaani ni mtu ambaye hata picha tuu...
  14. Mbepo yamba

    Godown inahitajika haraka

    Nahitaji godown haraka kwa maeneo ya Mwenge. Ofa Yangu ni 600000 kwa mwezi na nahitaji ndani ya mwezi mmoja pekee
  15. Mbepo yamba

    Zijue ABE Coated Pumpkin Seeds: Mbegu bora za Maboga Zilizookwa

    Wanandugu leo nawaletea mbegu za maboga zilizookwa. Hizi ni mbegu zilizoandaliwa kwa mazingira bora kabisa kuahakikisha kiini kinabaki na afya yake bila kuungua huku ukila mbegu tamu kabisa. Mbegu hii ni ya kwanza na ya aina yake hapa jijini Dar es Salaam na maeneo ya jirani ikiwa na sukari na...
  16. Mbepo yamba

    Lazaro Nyarandu: Muelekeo ni mhimu kuliko kasi

    Kwenye page ya mbunge wa Iringa mjini kupitia Chama cna Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Peter Msigwa leo amemnukuu aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii awamu ya utawala uliopita Mh. Lazaro Nyarandu kama ifuatavyo "Muelekeo ni mhimu kuliko kasi, wengi hawajui waendako lakini wana kwenda...
  17. Mbepo yamba

    Kesi ya kuupinga urais wa Uhuru Kenyatta mahakamani

    Leo, muda huu Mahakama Kuu nchini Kenya inasikiliza shauri la kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Uhuru Kenyatta. Natumaini kuna cha kujifunza kuhusu demokrasia, uhuru wa mahakama na dhana nzima ya katiba bora tutaiona hapa. Kila siku tunacho cha kujifunza kutoka taifa hili lenye nguvu kiuchumi...
  18. Mbepo yamba

    Mashambulizi ya Kigaidi na tafsiri yangu

    Tuliwaita ndugu zetu waislamu kupinga kwa nguvu zote ugaidi, na kwamba katika jamii iliyo staarabika haiwezi kuvumilia ushenzi unaofanywa na magaidi kwa kisingizio cha kuulinda uislamu. Magaidi yamekuwa yakiwashambulia wakristo mahali mbalimbali duniani na kuwafanyia ukatili usiosemekana ikiwa...
  19. Mbepo yamba

    Soko la Asali

    Wakuu poleni kwa majukumu ya kila siku na mihangaiko yoote. Nirudi kwenye topiki. Nina asali ya nyuki wakubwa kiasi cha debe 10. pia nina nta. Vyote hivi vinauzwa. Niko hapa Dar. Naomba kwa yeyote anayefahamu mahali soko la asali lilipo kwa hapa Dar, anisaidie kulifahamu pia. Mungu akufungulie...
  20. Mbepo yamba

    Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Imefika punde, Rais John Magufuli amemtimua kazi Mkurugenzi wa TRA kutokana na kashfa ya bandari iliyopelekea maofisa kadhaa kukamatwa huko. My take: Tuache muda uongee kasi ya JPJ Aliyekuwa Kamishna wa TRA Rished Bade Phillip Mpango aliyekaimishwa Ukamishina mkuu wa TRA. ====== RAIS...
Back
Top Bottom