Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,110
- 1,475
Ni mkaa kutoka Chunya kwenda popote Tanzania kwenye soko zuri zaidi. Preferably mkaa uje Dar es Salaam kwa sababu ndiko kwenye soko la uhakika na lenye bei nzuri zaidi.
Nimesajiliwa kuzalisha mkaa kutoka Chunya kwa mwaka huu wa uzalishaji ila tatizo ni uhaba wa mtaji uliotokana na changamoto kadhaa zilizoibuka kati ya mwezi September na November.
Nilishatoa mkaa mwezi September kwenda Mbeya kwa hiyo tayari Nina ujuzi angalau wa usafirishaji halali wa mkaa.
Nakaribisha mtu mwenye mtaji tushirikiane naye. Mpaka sasa kuna maandalizi yanaendelea shamba ili kuendelea kuvuna mkaa. Potential ya mkaa pale ni gunia 5000.
Karibu kwa maoni yako na interested person anaweza kuja inbox
Asante