Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,235
- 1,677
Wakuu poleni kwa majukumu ya kila siku na mihangaiko yoote.
Nirudi kwenye topiki. Nina asali ya nyuki wakubwa kiasi cha debe 10. pia nina nta. Vyote hivi vinauzwa. Niko hapa Dar. Naomba kwa yeyote anayefahamu mahali soko la asali lilipo kwa hapa Dar, anisaidie kulifahamu pia.
Mungu akufungulie baraka kuu za mbingu.