ameshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Iran ndugu yetu ameshindwa kuruhusu Meli zetu au ndugu wa mchongo

    Nilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite. Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu tena anaipenda Iran hadi kutumia wajumbe kutoa pole.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania: Je, Mungu wa kwenye Quran na Biblia ameshindwa kutulinda dhidi ya wasiojulikana?

    Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa. Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika inaamka sasa; Malawi, Rais Chakwera ameshindwa kura za Urais baada ya mhula mmoja tu madarakani

    Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha. Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    Habari za Sabato! Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara. Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka. Tatizo nililoliona lipo kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania An imaginary terrible situation: CRDB nimekutana na mtu analia ameshindwa kutoa pesa kufanya dialysis

    Msirudie kosa hili! Kungelikuwa Western world , huyu mgonjwa mngemlipa fidia magunia ya hela! Mngeliweka alternative service to at least save "lives"
  7. L

    JamiiForums Tanzania Arajiga Mechi ameshindwa kuimudu

    Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
  8. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

    Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Zelensky amewasili Uturuki kwa Majadiliano huku Putin ameshindwa kuhudhuria

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan Kando na hayo Rais wa urusi voldmil putin yeye ametumiwa wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayon na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa hili swali: Tuwaone wanafunzi wa siku hizi mnaweza ?

    An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

    Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55. Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema. Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu amefeli, CHADEMA ipo vipande vipande ameshindwa kuiunganisha

    Moja ya sifa kubwa ya kiongozi kwenye taasisi yoyote ni uwezo wa kuunganisha watu, kusuluisha migogoro na kujenga timu. Kinachotokea sasa hivi CHADEMA ni dhahiri kwamba mwenyekiti wa chama na wasaidizi wake wameshindwa kuifanya chadema kuwa moja. Chama kimekuwa hakuna masikilizano, hakuna...
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke wako ana kuheshimu na kukutii kwa viwango vya juu basi tambua kuwa ameshindwa "kuku-manipulate". Haijalishi pesa au status yako

    Endapo mwanamke atajua ume fall crazily kwa muonekano, status, personallity yake, etc atahakikisha akuweke under control yake, kumaanisha kuwa hatakuheshimu kwa kuwa jembe tena kwa maana umeanguka mtihani wa yeye kucheza na akili yako. Tatizo ni kuwa wanaume tunakuwa naive sana katika maamuzi...
  14. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  15. KABAKA28

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa swali langu?

    AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo Freeman Mbowe ameshindwa kuyasimamia

    1. Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019. Katika uchaguzi huu, Wagombea wote wa CHADEMA walienguliwa. Freeman Mbowe hakuongoza mapambano ya kufa na kupona ili kupigania haki( Mfumo ulimpa chake, akakaa kimya) 2. Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Mfumo wote wa uchaguzi uliharibiwa. Freeman Mbowe...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mbowe hata akishinda atakuwa kama ameshindwa tu.

    Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme mmoja wa ufalme mdogo wa Kigiriki aliyeitwa Pyrrhus alipigana na Waroma. Alishinda vita ila alipoteza...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe kama ameshindwa kutimiza malengo makuu ya Chama, kutaka tena si uroho wa madaraka?

    Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni; Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza...
  19. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

    Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu. Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Mr. II, Sugu amemvaa Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson, akidai kuwa ameshindwa kuendeleza mazuri mengi ambayo aliyaanzisha kipindi cha ubunge wake. Mbilinyi alisisitiza kwamba kuna mambo mengi yaliyokuwa na...
Back
Top Bottom