Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,235
- 1,677
Tuliwaita ndugu zetu waislamu kupinga kwa nguvu zote ugaidi, na kwamba katika jamii iliyo staarabika haiwezi kuvumilia ushenzi unaofanywa na magaidi kwa kisingizio cha kuulinda uislamu.
Magaidi yamekuwa yakiwashambulia wakristo mahali mbalimbali duniani na kuwafanyia ukatili usiosemekana ikiwa ni pamoja na mauaji ya kutisha, kwa kisingizio cha uislamu. Kwa bahati mbaya sana kwa kiasi kikubwa waislamu wanaojiita wenye msimamo mkali wakaeneza habari potofu kwa kunasabisha mauaji hayo na dini yao
Ni vigumu sana kujadili masuala ya imani kwa kuwa imani hutufanya wakati mwingi uache kutumia akili kuhoji, tukabaki na mihemuko ya mafundisho yatokayo kwenye nyumba/taasisi za ibada, na ndio maana wengi wa walioacha imani itawale akili zao wakasapoti unyama wa magaidi.
Magaidi wanatesa wakristo huko Nigeria kwa kuwavamia kwenye nyumba za ibada na kuwaua kama wanachinja kuku tuu, na waislamu wachache walioonesha kukerwa na hayo yanayotokea. Leo hao waliowafuga wamefanya kinyume nao, nadhani itakuwa ni miongoni mwa turning points za waislamu uchwara, nao wataanza kuipigania amani, upendo na kuheshimu imani za wengine, watapinga ugaidi, watahubiri upendo na si chuki.
Islam means peace, NOT violence and killings.
Mnaposherehekea sikukuu ya Eid el Fitr muwe na ujumbe wa amani na upendo,siyo chuki na utengano. Tukumbuke hakuna motto anayezaliwa na chuki bali hufunzwa katika makuzi yake.
‘Kwa wale waliokuwa wakitaka ushahidi kwamba washenzi hawa hawawakilishi Uislamu, ushahidi ni huu hapa.
Utajiitaje Muislamu halafu ukashambulie Msikiti Mtukufu wa Mtume Muhammad (s.a.w.w.) kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan na uamini kwamba kwa kufanya hivyo ukifa eti unakufa shahidi na unakwenda Peponi?
Ni lazima tuungane pamoja kuulaani na kuupiga vita ushenzi huu popote unapofanyika dhidi ya yeyote” Jussa Ismail